WAITARA: Ndani ya kanisa la Ufufuo na Uzima kwa Askofu Gwajima, ajiita Simba

Umesema kitendo cha kuhamisha kodi ya shs 40 ya Road licence kwenda kwenyemafuta kutawafanya:

-Wakata mbao walipie kodi ya mafuta ya shs 40 kwa zile mashine – Hivi zilipita hewani mpk zikawafikia

-Wenye mashine wataongeza gharama ya shs 40 kwa wanaokwenda kusaga – Najiuliza tu kama nao hawatumii hiyo kodi kwa kupita barabarani, ama kutumia huduma za serikali; au wanaotakiwa kulipa kodi ni nani/ ni watu wa level gani?

-Waendesha bodaboda watalazimika kulipia shs 40 kwenye mafuta – Umesahau kwamba sasa hivi hata tax zinazidiwa mapato na bodaboda? Kuna tax zimepaki

Tujenge hoja zenye mashiko
 
hata Mimi sijaona faida...kodi hii ilielekezwa kwa wenye magari kwamaana mpaka uwe nagari unajiweza somehow sasa kupeleka Kodi hii kwa vibodaboda na wapasua mbao Ni kuwawekea mzigo mwingine baada ya huu wa halingumu ya maisha na gharama za maisha kuwa juu!! Kila mtu anamtazamo wake chamhimu hoja zenye mashiko kwamaana watetezi wa hii kitu sioni hoja yao yamsingi
 
Kuna umuhimi wa kuhakiki elimu za watu humu JF.

Wewe huelewi lolote kuhusu mambo ya tax account. kaa kimya kabisaaa. Hujui kitu kinaitwa doubled taxation mbulula wewe.
 
Mkuu mleta uzi, Kati yako na waitara Nani haeleweki?lkn sishangai huu ndio uelewa hata wawale wanao wakilisha chama chako,wana wa izaya mufirisi wa mama Tz, ila iko siku
 
Nchi yetu ina asili ya kijamaa hivyo kuchangia kodi ni jambo la kawaida hata kama utakuwa huna gari ilimradi tu una chombo kinachotumia mafuta
 
Umesema kitendo cha kuhamisha kodi ya shs 40 ya Road licence kwenda kwenyemafuta kutawafanya:

-Wakata mbao walipie kodi ya mafuta ya shs 40 kwa zile mashine – Hivi zilipita hewani mpk zikawafikia

-Wenye mashine wataongeza gharama ya shs 40 kwa wanaokwenda kusaga – Najiuliza tu kama nao hawatumii hiyo kodi kwa kupita barabarani, ama kutumia huduma za serikali; au wanaotakiwa kulipa kodi ni nani/ ni watu wa level gani?

-Waendesha bodaboda watalazimika kulipia shs 40 kwenye mafuta – Umesahau kwamba sasa hivi hata tax zinazidiwa mapato na bodaboda? Kuna tax zimepaki

Tujenge hoja zenye mashiko
Mkuu kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake na waitara concern yake ni gharama ya mafuta hana shida na road licence kufutwa ama kuhamishwa shida yake ni kwanni kwenye mafuta???? Na wakati ni basic need kwa nchi za ulimwengu wa tatu kma sisi???

Sasa hapo kosa la waitara likwapi
 
hata Mimi sijaona faida...kodi hii ilielekezwa kwa wenye magari kwamaana mpaka uwe nagari unajiweza somehow sasa kupeleka Kodi hii kwa vibodaboda na wapasua mbao Ni kuwawekea mzigo mwingine baada ya huu wa halingumu ya maisha na gharama za maisha kuwa juu!! Kila mtu anamtazamo wake chamhimu hoja zenye mashiko kwamaana watetezi wa hii kitu sioni hoja yao yamsingi
Mkuu hii kodi kwa sasa sio tu kwa wenye vyombo vya moto bali ni ni hata kwa yule ambae hamiliki hicho chombo
 
Kuna umuhimi wa kuhakiki elimu za watu humu JF.

Wewe huelewi lolote kuhusu mambo ya tax account. kaa kimya kabisaaa. Hujui kitu kinaitwa doubled taxation mbulula wewe.
Wasomi hawatukani ila wana muelimisha yule asiye na elimu ili akawafungue na wale ambao wanamuamini
 
Back
Top Bottom