WAITARA ATEULIWA UNAIBU WAZIRI TAMISEMI.

Kila kukicha uteuzi tuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi Rais yupo serious kweli na nchi ayayoiongoza?
 
Naona mwijage ajajenga viwanda vya kutosha, ila upinzani wa Tz ni bora sana yaani MTU ananunuliwa hlf anaenda kufanywa waziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…