Waitara ataka Wabunge wapimwe Ushoga kabla ya kuingia Bungeni

Waitara ataka Wabunge wapimwe Ushoga kabla ya kuingia Bungeni

Mbunge Mwita Waitara wa jimbo la Tarime Vijijini mkoani Mara, amehoji endapo Serikali itakuwa tayari kufunga mashine ya kupima ushoga na usagaji bungeni kama sehemu ya wawakilishi hao wa wananchi kuonesha uwajibikaji kwa vitendo.

Waitara amehoji suala hilo leo Mei 20, 2025 kwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni.

Pia soma > Pre GE2025 - MwanaCCM: Mashoga wamezidi na ndani ya chama wapo. Tutasimama vipi kwenye majukwaa kuomba kura?

Yeye binafsi yupo tayari wampime kinyeo chake? Au wanapimaje hao mashoga?
 
Mbunge Mwita Waitara wa jimbo la Tarime Vijijini mkoani Mara, amehoji endapo Serikali itakuwa tayari kufunga mashine ya kupima ushoga na usagaji bungeni kama sehemu ya wawakilishi hao wa wananchi kuonesha uwajibikaji kwa vitendo.

Waitara amehoji suala hilo leo Mei 20, 2025 kwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni.

Pia soma > Pre GE2025 - MwanaCCM: Mashoga wamezidi na ndani ya chama wapo. Tutasimama vipi kwenye majukwaa kuomba kura?

KILA SIKU TUNASEMA CCM IMEJAA MASHOGA WATU WANABISHA. BUNGE LA ASIMIA 100 CCM
 
Mimi nlisema hawa akina Lucas Mwashambwa ChoiceVariable Tlaatlaah et al hizi hoja huzikimbilia wakijihami.

BUNGE ASILIMIA 100 NI LA CCM. MBUNGE WA CCM ANASEMA WABUNGE WAPIMWE USHOGA MAANA YAKE HAWAAMINI WENZIE. MAJIBU NILISEMA YATAKUJA TU.
Hawa Jamaa watachanganyikiwa mwaka huu, Nimemuona Makala huko Sengerema kaita wasanii wamuziki ili ionekane watu wamejaa, ukiangalia vizuri unagundua wanafunzi ndo wamejaa wamevalishwa kijani wako bize wanasakata rumba hawana habari
 
Au ndio sababu ya wale wasanii mapromota wa ushoga wanapata tenda za ccm
 
Kwa mtizamo wangu, Kuna kitu anajua.. Ila haku fafanua... Hasa kwenye usagaji.. Ndiyo anamanisha... Hapo kwenye ushoga kazuga tu...
Ukimwangalia yule mbunge mbana pua ambaye alikuwa manager wa Diamond hapelekwi moto?
 
Kwahiyo wale wazee wanabomoana? Alooh😥😥
 
Lazima wawepo sasa mtu anasema kububujikwa na machozi mara gentleman 24hrs kwanini asivuliwe ubingwa?
 
Mbunge anakuja kuleta hoja kuwa kabla ya mtu kuwa mbunge au kuingia kwenye ubunge apimwe ushoga kwanza.
Kwahiyo huko majimboni kwao ushoga umekuwa tishio kwa Taifa kiasi cha kuathiri maendeleo ya wananchi?
Kwanini asiseme wapimwe IQ kwanza kabla ya kuapishwa na watakaokuwa below 100 watimuliwe ili kuweka vichwa bungeni vitakavyoliandaa Taifa la kesho?
Bunge la hovyo kuwahi kutokea duniani.
Bunge linalowakilisha serikali badala ya wananchi.
Dar es salaam kitovu cha biashara barabara za nitaamini mashimo tupu. Huyo waitara ana makazi dar es salaam anaona hii hali lakini anakuja kuongea nonsense.
 
Back
Top Bottom