Waitara ampandia Rais Magufuli

Waitara ampandia Rais Magufuli

Mi nikajua yule mjeda kumbe kawaitara haka
 
Ukiona mtu hafati Katiba wala Sheria za Nchi huyo ni Mtu wa Shetani kama mnaamini Viongozi wanaletwa na Mungu basi asiyefuata ni Kiongozi wa Shetani...
 
Kumbe uliyasikia!!!! Ila huo ujinga ndio uliokuvutia na ukapenda ujulishe umma.

No, wala hata sikumsikia wala kumtazama akiongea ktk hiyo TV, nilikuwa busy na kazi zangu isipokuwa nimemsoma tu huyu mleta mada na kama ni ujinga, basi ndiyo hivyo tena nimeusoma!!
Hebu tupia na wewe huo "werevu" tulinganishe na huu ujinga. Ni kwa nia njema tu
mkubwa wala huna haja ya kupaniki!!

Usiwe kama bwana mkubwa wenu ambaye ghafla hutokea tu na kujawa na jazba na hasira zisizokuwa hata na sababu!!
 
Raisi anathibitisha bila Shaka yoyete uwezo ccm katika siasa umeshuka sana ahadi kuofia upinzani iko wapi ccm enzi hizo tumepoteza mvuto sana na JPM ndo anafanya ipotee kabisa
 
Tanzania siyo nchi ya mtu mmoja anayejiona kauli zake ndo sheria anatakiwa kufuata katiba si kutoa za kukurupuka kila siku.
 
Punguza jazba una hasira sana na UKAWA walikufanyaje,
Rais anawagwaya UKAWA, lakini kwa sababu ya rais huyo huyo UKAWA wameanza kuwagwaya Wananchi , 2020 Magufuli hapigi kampeni.
 
Wewe punguani kweli tunza kumbukumbu maneno yako ntakuja hapo lumumba kukukataa hivyo vidole bado ajira yako ile kuosha vyoo hapo?
Hakuna ukweli wowote nilioambiwa hapo, ukweli tutaujua 2019 na 2020.Waitara akirudi mnikate kidole mimi mkurya mwenzake lakini dalili za kumng'oa zimeshaonekana.
 
Naomba kuuliza hii nchi inaongozwa kwa katiba au amri...??
Wewe nguri wewe ni mkenya Tanzania unaitafutia nini?kaa kushoto huna uraia wa tanzania usisumbue watanzania,kama umshindwa rudi kenya haraka
 
"Waitara ampandia Rais Magufuli" hizo lugha zingine bana wakati mwingine siyo kila ukiingia JF unywe banana.
 
Hakuna cha maana alichokisema, ni mwendelezo ule ule wa kutafuta umaarufu. Aliyoyasema yamesemwa sana na watafuta umaarufu kama yeye, wamemuwahi.
Kwani kila post mnalipwa shilingi ngapi?naona unalundika tu taka taka zako humu kwa kumjibu kila mtu
 
Hivi kumbe UKAWA haipo tena...duh!!!!!!!!!!!!!
 
Ukaguzi wa vyeti uanze kwa viongozi wa Kitaifa wote ukianza na Rais,Makamu wa Rais,PM,Mawaziri,Manaibu Waziri na Wizara zao zote na Viongozi wote kwa Ujumla w Serikalini nina mashaka na musikia hizi PhD,Masters and Degree.....zilipatikanaje.
NB: Haki ya Mungu ikifanyika hivi tutaheshimiane na ndiyo mwisho wa kuita watoto wa watu v1laza wakati watoto wao ndiyo v1laza wakuu wa divisheni foo.
Haiwezekani mtu ana PhD alafu alikuwa mwalimu wa UPE.
 
mheshimiwa waitara nenda jimboni kwako na kufanya shughuli za kimaendeleo pamoja na wanachi wako waliokuchagua kwa kura nyingi na wakazilinda mpaka asubuhi, 2020 sio mbali mkuu. hizi kauli na matamko ya kwenye media hayana msaada wowote kwa mwananchi aliyekuchagua kule ukonga. nenda kawasikilize wananchi wako na uwaeleze umefikia wapi kwenye yale uliyoahidi na yapi bado hujatimiza. hiyo ndio kazi yako kwa wananchi waliokuchagua
 
Back
Top Bottom