Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
Hivi ukisajili chama kipya leo, utatafutaje wanchama bila kuznguka nchi nzima?
Huoni aibu kusema hivyo.?Naona imekuwa wakati muafaka kwa kila kila mbunge wa chadema kupata kick kwa kutumia jina la magufuli.
Wewe tumeshakujua na chuki zako binafsi kwanza sio mkurya og wewe ni jamii ya kikurya lakini Mimi mkurya og naejua kupika kichuri kiufasaha nasema kwamba atarudi Kwa kishindo kama alivyomtoa mtu Machozi pale pugu sec mwaka Jana...Hakuna ukweli wowote nilioambiwa hapo, ukweli tutaujua 2019 na 2020.Waitara akirudi mnikate kidole mimi mkurya mwenzake lakini dalili za kumng'oa zimeshaonekana.
Witara size yake mi Jerry Slaa, kwa magufuli ni mwendelezo ule ile wa kutaka umaarufu pasipo kuwa maarufu.
01/09/2016.
# UKUTA
Niko ukonga kura yangu anayoWanajipima ubavu, wanadhani itawasaidia kuwashawishi wananchi wawaone wanaweza Waitara tunamwangalia tu huku UKONGA, 2020 bila kitu tunambwaga hainaga USHEMEJI hiyo.