Waislamu wazindua program 2010

Ni bora wawe hawana Diploma kuliko kuwa na zile za St.. St,, ambazo zinakubeba toka Certificate mpaka PhD.

Bwa ha ha ha,

Waulize baraza la mitihani wakuambie namna shule za St St zinavyopiga bao madrassa kama wamesimama. Watu usiku na mchana kuimba kiarabu saa ngapi watasoma?
 
Kwa kusema ukweli hili kundi la waislamu waliosema hayo waliyosema wanaushusha chini uislamu.. naomba waislamu wenye akili wawakemee kwa sababu siamini kama waislamu wote wanawaza hayo yaliyoandikwa. Na kama kweli wanaamini kuwa matatizo yao yanasababishwa na wakristo .. basi watakuwa na matatizo daima dumu WHY ? kwa sababu hawajajua chanzo..
 
Hawa wasiochaguliwa na umma wenye miongozo (encyclical) na ilani, in the name of civics (elimu ya uraia) wana haki gani zaidi ya hawa wafuatao?

  • Ambao hawajawahi kufika miji mikuu ya mikoa yao
  • Ambao hawajaenda ng’ambo
  • Ambao hawajawahi kuvaa suti
  • Ambao hawajwahi kuvaa kanzu
  • Fundi cherahani
  • Maalibino
  • Mabaa meidi
  • Mabinti wafanyakazi majumbani wanaopewa mimba na mabosi
  • Madaktari
  • Madereva wa daladala
  • Madereva wa teksi
  • Makarani
  • Malaya
  • Mama Ntilie
  • Mamesenja
  • Manesi
  • Vizee vichawi
  • Wa mashirika yasiyo ya serikali
  • Waamini uchawi wa bagamoyo
  • Waamini unajimu
  • Waandishi wa habari
  • Waanglikana
  • Wabaptisti
  • Wabunge
  • Wachawi
  • wafungwa jelani
  • Waganga wa jadi
  • Wajane
  • Wajawazito
  • Wakoma
  • Wakulima
  • Walevi
  • Walevi wa gongo
  • Walimu
  • Walimu wa shule wasiolipwa
  • Walio ughaibuni
  • Walioachika ndoa
  • Waliojiajiri
  • Waliooa wageni
  • Waliopooza viungo vya mwili
  • Waliopunguzwa kazi badala ya kugawana umasikini kwa kupata nusu mshahara
  • Waluteri
  • Wamachinga
  • Wanafunzi wa kike waliofukuzwa kwa kutunga mimba
  • Wanafunzi wa sekondari
  • Wanafunzi wa vyuo vikuu
  • Wanaokerwa na “vijisenti”
  • Wanaokerwa na EPA, Richmond na Meremeta
  • Wanaokerwa na kauli “potelea mbali, hata kama Tanzania itaingia gizani”
  • Wanaokerwa na walingia suti
  • Wanaume waliotahiriwa
  • Wanaume wasiotahiriwa
  • Wanawake waliokeketwa
  • Wanawake waliotoa mimba
  • Wanawake wasiokeketwa
  • Wanyesha mvua au waganga wa jadi
  • Waokotaji
  • Wapagani
  • Wapenda Azimio la Arusha
  • Wapenda kuvaa buibui
  • Wapenda u-Afrika
  • Wapentekoste
  • Wapinga kauli ya “ndege ya Rais inunuliwe tu; wananchi watakula nyasi”
  • Wapofu
  • Wasabato
  • Washoga na wasgaji
  • Wasio na chumvi
  • Wasio na komputa
  • Wasio na magari
  • Wasio na maji majumbani
  • Wasio na redio
  • Wasio na runinga
  • Wasio na selula
  • Wasio na simu
  • Wasio na stempuza kutuma barua
  • Wasio na sukari
  • Wasio na umeme
  • Wasio wanachama cha siasa
  • Wasiobatizwa
  • Wasiojua Kiingereza
  • Wasiojua kuandika
  • Wasiolipwa na umma
  • Wasiomudu gharama ya tiba mahospitalini
  • Wasiomudu kupeleka watoto wao shuleni
  • Wasiopenda kuvaa buibui
  • Wasiotumia daw ya mswaki
  • Wasiotumia sabauni
  • Wasiovaa viatu
  • Wastaafu
  • Wasusi wa Nywele
  • Watoto
  • Watumia mikono ya shoto
  • Wavuta sigara
  • Wavuvi
  • Wazee
  • Wenye kukerewa na Katiba ya ujamaa; matendo ya ubepari
  • Wenye majina ya Uarabu
  • Wenye majina ya Ulaya
  • Wenye vipara
  • Wenye wivu
 
Hawa wasiochaguliwa na umma wenye miongozo (encyclical) na ilani, in the name of civics (elimu ya uraia), wana haki gani zaidi ya hawa wafuatao?

Nitakuwaje General wakati vit sitaki? Nyinyi ndiyo manaoleta manena ya shari. Au unadhani tukibaki na vyama vya kidini patakuwa na amani nchini?

Amandla....
Waulize maaskofu walioanzisha upuuzi huo, sasa hivi tunajadili matokeo
 
Bwa ha ha ha,

Waulize baraza la mitihani wakuambie namna shule za St St zinavyopiga bao madrassa kama wamesimama. Watu usiku na mchana kuimba kiarabu saa ngapi watasoma?
Kama alivyosoma slaa na mbowe...
 
Bwa ha ha ha,

Waulize baraza la mitihani wakuambie namna shule za St St zinavyopiga bao madrassa kama wamesimama. Watu usiku na mchana kuimba kiarabu saa ngapi watasoma?

Siyo tu kusimama, kulala fofofo huku wakikoroma!
 
Waulize maaskofu walioanzisha upuuzi huo, sasa hivi tunajadili matokeo

Mpuuzi wa kupindukia ni yule anayerudia kitu alichokwishaona ni upuuzi kama wanayofanya hao wanamadrasa (kelele nyingi elimu zero).
 
Waulize maaskofu walioanzisha upuuzi huo, sasa hivi tunajadili matokeo

Usilinganishe chungwa na papai.
Waraka wa maaskofu wa kikatoliki haukutaja waislamu , uislamu, wakatoliki, ukatoliki au ukatoliki. Ulikuwa na maelekezo ambayo yangeweza kutumiwa kuchagua kiongozi kutoka dini yeyote au dhehebu lolote bila kuangalia msimamo wake wa kidini. Waraka wenu umejaa malalamiko kuhusu mnachoona unyanyasaji dhidi ya waislamu na unaagiza kuwa kipimo cha kiongozi bora ni maslahui ya waislamu bila kujali nchi au wenye dini nyingine. Hao walioandaa na watu kama wewe ni agitators na hamuitakii mema nchi yetu.Chuki yenu dhidi ya ukatoliki (isiyo na uhusiano wowote na waraka wao) itatupeleka pabaya. Tuombee kuwa hao wafuasi wenu watalitambua hilo mapema.

Amandla......
 
Kwa kusoma hii program ya mwongozo ya 2010 sioni kama kuna la kujadili.

Kwani yenyewe imejikita katika kuweka timeframe ya kutekeleza mwongozo hususan katika kutoa elimu ya uraia na haki za mpiga kura na kuchaguliwa kiongozi.

Imejikita zaidi katika kutekeleza na kutoa elimu ya uraia kwa waumini,

Sasa sioni kwa nini mnajadili sana.

nawashauri kila mtu anaweza kupata nakala yake na kuisoma aielewe kisha ndipo mlete debate.
 
1. Kiongozi wa kitaifa kutafutwa misikitini pekee kiongozi huyo ataongoza kina nani? ...Hiyo si kweli shura inapeleka mwongozo kwa watanzania wote ni mikutano yake inafanyika kwenye public places all over the country...kwa hiyo ni kwa wananchi wote unaweza kuhudhuria ili uweze kupata historia sahihi ya nchi na matatizo ya msingi ya nchi hii nzuri...unlike waraka ambao husambazwa na kufundishwa kwenye jumuiya za kikatoliki na kufundishwa na mapadre huo ndio umekaa kibaguzi si kitaifa

That is the begining of the end. Tatizo ni overconfidence ambayo sio scientific. Mmependa uongo kiasi kwamba mnafurahi hata kujidanganya wenyewe. Si kweli kuwa waislamu katika jamii ya Kitanzania ndio wengi. Si kweli kuwa mkienda katika majukwaa ya wazi mtazoa kura na kupata ushindi wa kishindo. Badala yake mtaona giza mlilokuwamo mkidhani kila mtu anashabikia upuuzi wenu. Nawangoja ICU na mortuary MTAJUTA!!!!
 
Ubinafsi na udini ulianzia kwenye waraka wa Maaskofu tusije kusahau "source" tukaanza kurukia matokeo..source ni waraka!

Watu wengi tulishauri serikali iwakemee wakristo na udini wao pamaoja na agenda ya ubinafsi na ajenda zao zingine za siri wakakataa na wakristo wakaja juu kuutetea..

Wacha kulalamika usisahau source, niliwahi kusema nchi hii kutakuwa na vyama viwili "christian party ans islamic party at the end of the day..naamini tutafika huko wananchi watachagua kwa mrengo huo good move..

THIS IS HILLARIOUS!
Unachokiotea will never happen in this country..... " uliwahi kusema" wewe kama nani?
Acheni siasa za kugawa watanzania kwa kile ninachoweza kukiita upofu wa hali halisi. Hivi, priorityni kueneza dini au kujiletea maendeleo?
I always thought kuwa dini ni kitu binafsi sana kumbe wewe unadhani dini ni national priority lol!
 
Usilinganishe chungwa na papai.
Waraka wa maaskofu wa kikatoliki haukutaja waislamu , uislamu, wakatoliki, ukatoliki au ukatoliki. Ulikuwa na maelekezo ambayo yangeweza kutumiwa kuchagua kiongozi kutoka dini yeyote au dhehebu lolote bila kuangalia msimamo wake wa kidini. Waraka wenu umejaa malalamiko kuhusu mnachoona unyanyasaji dhidi ya waislamu na unaagiza kuwa kipimo cha kiongozi bora ni maslahui ya waislamu bila kujali nchi au wenye dini nyingine. Hao walioandaa na watu kama wewe ni agitators na hamuitakii mema nchi yetu.Chuki yenu dhidi ya ukatoliki (isiyo na uhusiano wowote na waraka wao) itatupeleka pabaya. Tuombee kuwa hao wafuasi wenu watalitambua hilo mapema.

Amandla......

Well said!
Haya malumbano na mashindano ya nani zaidi sijui ni kwa manufaa ya nani.
 
Au mna wasiwasi kuwa ile 73.4% ya wabunge wote katika bunge la muungano a,bao ni wenu sasa inawezekana ikapungua.

Kutesa kwa zamu.

nani kasema kuwa hawa wabunge ni wawakristo?pamoja na kuwa inawezekana kuwa dini yao ni ya kikristo lakini swala la dini ni swala binafsi,ni swala linalohusu imani ya mtu binafsi.kama mie ni mkristo haimaanishi kuwa ninawakilisha wakristo wengine,bali najiwakilisha mimi mwenyewe na imani yangu,siiwakilishi hata familia yangu,kwani kila mtu ana utasi wake wakuamini vile anavyopenda.''ukristo'' wa hawa wabunge haimaanishi kuwa wanawakilisha yale wanayoamini wakristo watanzania.....
AT LEAST THIS IS HOW I SEE IT IS SUPPOSED TO BE..............!
 
hivi kweli unamfananisha John Garang na Bin Laden?kweli.....................!?
 
Ubinafsi na udini ulianzia kwenye waraka wa Maaskofu tusije kusahau "source" tukaanza kurukia matokeo..source ni waraka!

Watu wengi tulishauri serikali iwakemee wakristo na udini wao pamaoja na agenda ya ubinafsi na ajenda zao zingine za siri wakakataa na wakristo wakaja juu kuutetea..

Wacha kulalamika usisahau source, niliwahi kusema nchi hii kutakuwa na vyama viwili "christian party ans islamic party at the end of the day..naamini tutafika huko wananchi watachagua kwa mrengo huo good move..[/QUOTE
.........................so two wrongs make it right....................!?
 
Kwa kusoma hii program ya mwongozo ya 2010 sioni kama kuna la kujadili.

Kwani yenyewe imejikita katika kuweka timeframe ya kutekeleza mwongozo hususan katika kutoa elimu ya uraia na haki za mpiga kura na kuchaguliwa kiongozi.

Imejikita zaidi katika kutekeleza na kutoa elimu ya uraia kwa waumini,

Sasa sioni kwa nini mnajadili sana.

nawashauri kila mtu anaweza kupata nakala yake na kuisoma aielewe kisha ndipo mlete debate.

Matatizo makuu ya nchi ni udini, ubaguzi dhidi ya Waislaam au baadhi ya watu, rushwa, uchafuzi wa mkataba wa Muungano na ukosefu wa maadili kwa viongozi," inasema sehemu hiyo katika ukurasa wa 65.

Mimi ningependa kufahamishwa jinsi waislamu wanavyobaguliwa katika nchi hii. Vile vile hao watu wengine wanaobaguliwa pamoja na waislamu ni wakina nani? Hii inatisha maana kama katika nchi ambayo rais wake, makamu wa rais, mkuu wa usalama, mkuu wa polisi, waziri wa fedha wote ni waislamu bado pana structural ubaguzi basi kazi ipo!

Amandla........
 
Back
Top Bottom