Waislamu wazindua Jukwaa la KATIBA

Sisi ni Watanzania kwanza halafu ndiyo zinakuja dini zetu.

Binadamu toka kuzaliwa mpaka kufa ni mfumo wa kiamani zaidi unaomzunguka! hivyo kwanza imani (dini) kisha utaifa lakini katika Uislamu hatuna utaifa na ni dhambi kubwa kujifahamisha kwa utaifa! ndiyo maana Waislamu huwa tunaumizwa sana pale Mwislam yeyote anapoonewa sehemu yyt duniani. otherwise naona nyie mpo poa tu!
 
Je una uhakika wa unachokisema.
Je unaijua Mou yenyewe na unajua kanisa linakwapua kiasi gani toka katika Serikali masikini ya Tanganyika.

MOU ya Kanisa na Serikali ilifungwa mwaka 1992 na Fisadi EL. Kila mwaka makanisa yenu yanapata Billioni 60 (sasa hivi yanapata Billioni 91) .

Toka 1992- 2011 ni miaka 19= 60,000,000,000 x 18 + 91,000,000,000= Trilioni 1.17 or Trilioni 1.2. Kutoka katika kodi za WATANZANIA.

Jiulize kama Serikali ingekuwa kila mwaka kutokana na pesa hizo ingekuwa inajenga hospitali 2 na labda chuo kimoja na secondari 3. Je sasa ingekuwa imefikia wapi?

Kwanini wazidi kukodi kwa kanisa? Kwa mwenye akili timamu atajiuliza kama kanisa waliweza kujenga kwanini washindwe kuviendeleza?

Hizo pesa zinazotolewa na serikali ni kwenye taasisi za kikristu zinazotoa huduma kwa jamii. Sio kwaajili ya kuendeleza/kuendesha ukristu kama makanisa. FYI hiyo MoU haimo kwenye katiba ya nchi na haijavunja kipengele chochote cha katiba. Endeleeni kuwadanganya waislamu kwamba hospitals na shule zote za kikristu zimepatikana kutokana na MoU. Mtabaki watu wa kulalamika milele.

Imagine kama Mkoa wa Kagera hospitali zote za wilaya ni DDH (District Desgnated Hopital). Eti leo serikali iache kuzi subside hizo DDHs na ianze kujenga za kwake, hivi hiyo malaria, UKIMWI, Pneumonia, TB, ARS, etc yatakuwa yanawasubiri tu nyinyi waislamu hadi hizo hospitali zitakapomalizika?!

Mimi ninafikiri MoU hiyo ifutwe tu halafu kila mgonjwa atakayekwenda DDHs, Bugando, Agha Khan, KCMC etc aononesha cheti cha ubatizo kama anacho analipa 1/2 of the cost, kama mtu hana au ana sigida kwenye paji la uso analipa x 10 of Christians ili kufidia wakristu kwasababu ya kutumia huduma zao. Na hivyo hivyo kwenye mashule, kama watoto wa wakristu let say wanalipa 100,000/- per years as school fees, basi waislamu walipe x10 times, 1,000,000/- Nafikiri tukifanya hivi haya malalamiko yatakwisha na waislamu watatia akili kichwani na kujenga hospitals na mashule yao badala ya kuendelea kuwaonea husuda wakristu tu kwa mali zao.
 
Lahaula!!! Mbona wewe umeandika kama kilaza kulikoni?

Chama
Gongo la Mboto DSM

lahaula..!! kweli kweli, ninakusemehe bure kwani siyo kosa lako kutokuwa na elimu

ni kosa la mashehe kukupatieni ilimu chafu ya chini ya bahari..
 
Ulitaka niseme Tanzania iko mbele ya Uislaam wangu? unanshangaza.

Ukiona mtu anaanza matusi ujuwe hana hoja.

Samahani sana kama imeonekana nimetukana sikujua kama neno "kilaza" ni kama tusi,ila

mimi ninakuheshimu si utani,,nakushauri uendelee kutoa michango yako mizuri ila ili usomeke vizuri

usijiingize kwenye mijadala ya kidini kwasababu basara unazoonekana kuwa nazo hupotea mara moja

NI HAYO TUU DADA YANGU.
 
Ligi ya udini ishaanza tena hahahahah
tuone sinema inavyoendelea.
Hii mechi kati ya uislam na ukristo kwenye ligi ya Udini inafanana na ile ya El classical ya La Liga . Pamoja na hayo yote sisi sote ni Watanzania na tunapendana tu ila tunapita kwenye kipindi kibaya katika historia ya nchi yetu. Nina uhakika tukipata viongozi wazuri na uelewa wa watanzania ukiongezeka tutabaki salama kwenye safari yetu...!
 
Waislamu huwa mnanichekesha sana mnapojenga hoja. Huwa ninajiuliza hivi huko misikitini huwa kuna watu wa aina gani. NO wonder all muslims educated huwa hawasiklizi mawaidha baada ya sala!

Hizo pesa zinazotolewa na serikali ni kwenye taasisi za kikristu zinazotoa huduma kwa jamii. Sio kwaajili ya kuendeleza/kuendesha ukristu kama makanisa. FYI hiyo MoU haimo kwenye katiba ya nchi na haijavunja kipengele chochote cha katiba. Endeleeni kuwadanganya waislamu kwamba hospitals na shule zote za kikristu zimepatikana kutokana na MoU. Mtabaki watu wa kulalamika milele.

Imagine kama Mkoa wa Kagera hospitali zote za wilaya ni DDH (District Desgnated Hopital). Eti leo serikali iache kuzi subside hizo DDHs na ianze kujenga za kwake, hivi hiyo malaria, UKIMWI, Pneumonia, TB, ARS, etc yatakuwa yanawasubiri tu nyinyi waislamu hadi hizo hospitali zitakapomalizika?!

Mimi ninafikiri MoU hiyo ifutwe tu halafu kila mgonjwa atakayekwenda DDHs, Bugando, Agha Khan, KCMC etc aononesha cheti cha ubatizo kama anacho analipa 1/2 of the cost, kama mtu hana au ana sigida kwenye paji la uso analipa x 10 of Christians ili kufidia wakristu kwasababu ya kutumia huduma zao. Na hivyo hivyo kwenye mashule, kama watoto wa wakristu let say wanalipa 100,000/- per years as school fees, basi waislamu walipe x10 times, 1,000,000/- Nafikiri tukifanya hivi haya malalamiko yatakwisha na waislamu watatia akili kichwani na kujenga hospitals na mashule yao badala ya kuendelea kuwaonea husuda wakristu tu kwa mali zao.

Bobuk,

Ndugu yangu tumia busara na akili katika kufikiria mambo kiuchumi zaidi.

Jiulize je ni busara mtu mwenye akili timamu kuendelea kuisifia nyumba ya kupanga badala kuisifia nyumba yake mwenyewe.

Jiulize kwa sasa Kanisa linakwapua Bilioni 91 kila mwaka. Je ni hospitali ngapi wangejenga Serikali kwa mwaka na zingekuwa mali ya Serikali. Kumbuka kuwa katika hospitali hizo madaktari na wauguzi wengi ni waajiliwa wa Serikali ambao katika hizo Bilioni 91 wanazopewa hawamo bali wanalipwa na halmashauri.

Chukulia Tanzania kuna mikoa 30. Kila mwaka Serikali ingeamua kujenga District Hospital 3 na sekondari 3 na cho kimoja kutokana na pesa hizo wanazopewa kanisa. Kuanzia 1992 mpaka sasa kungekuwa na District Hospital 51 na Skuli za Sekondari 51 na vyuo 19 kutokana na pesa hizo tu. Jumlisha na pesa wanazotenga kwenye bajeti za wizara ya Afya na tamisemi. nfikiri kusingekuwa na haja ya Serikali kuwa tegemezi kwa kanisa.

Kumbuka kuwa huduma za afya zipo na zilikuwepo tokea uhuru, mbona hakuna aliyewahi kufa. MoU imeanzishwa 1992. Je tokea 1961 Dec wananchi walikuwa wanapata hudima wapi?

Fikiria kabla kuandika na ili kujali maendeleo ya nchi yake ni vizuri ufikirie kiuchumi zaidi na sio kisiasa.

Pole sana.

Nafikiri tofauti yangu na wewe ni kuwa wewe unatazama kisiasa zaidi MoU hiyo wakati mimi naitazama kiuchumi zaidi.

Kumbuka kuwa Kama utapata bahati ya kupitia bajeti ya Tanzania (Muungano) ya mwaka 2009/2010 na ile ya 2010/2011 na hata 2011/2012 kwanye jedwali lile la misamaha ya kodi kwa taasisi za kidini na NGO,s utagundua mengi sana.

Kumbuka kuwa makanisa hayo hayo kwa zaidi ya 86% wanasamehewa kodi na vile vile wanapewa bilioni 91 za kuendesha hospital/vyuo/ skuli zao na vile vile kama hospital kunakuw na waganga na manesi wanaolipwa na Serikali katika kuziendeleza.

Mimi nasimamia kuwa kama hospitali hizo zilijengwa na makanisa hayo ni vizuri zibaki kuwa za makanisa na watendaji wake wote wawe wanalipwa na makanisa hayo hayo.

Na serikali ijenge mahospitali yake na kuweka watendaji wake. Kushabikia nyumba yyyyya kukodi/ kupanga ni upunguani wa akili na urudishaji nyuma wa maendeleo ya nchi yenu. Naweza kusema ni wizi mkubwa kuliko EPA.

Jitazameni na mjikomboe katika janga hilo.

Kikwete alishasema ushikiano kati ya serikali na taasisi za kanisa ni mzuri na akawahakikishia kuwa huo ushirikiano utaendelea. Hujajiuliza kwa nini rais wetu(tena mwislam mwenzako) anaona MoU ina manufaa kwa jamii?
 
Sweke34.

kama unaangalia MoU kisiasa its Ok. Lakini kama unaangalia kiuchumi basi ina mushkeri mkubwa kwa Taifa lenu.

Nikuulize kwanini mlivunja mkataba na Richmond (Dowans).

Je hiyo inatofauti gani na Bilioni 91 wanazolipwa kanisa kila mwaka? Kwanini serikali isijenge vyuo na Hospitali zake na kutegemea na kujinasibu na hospitali za kanisa. (nimekupa mchanganuo huko juu kama itajenga vyuo 1 hospi 3 na skuli 3 kila mwaka sasa hivi wangekuwa na hospitali ngapi za kwake?

Fikiria kiuchumi na sio kisiasa.

Nakupa heri ya mwaka wako mpya 2012 Sweke.

Bobuk, Ndugu yangu tumia busara na akili katika kufikiria mambo kiuchumi zaidi.

Jiulize je ni busara mtu mwenye akili timamu kuendelea kuisifia nyumba ya kupanga badala kuisifia nyumba yake mwenyewe.

Jiulize kwa sasa Kanisa linakwapua Bilioni 91 kila mwaka. Je ni hospitali ngapi wangejenga Serikali kwa mwaka na zingekuwa mali ya Serikali. Kumbuka kuwa katika hospitali hizo madaktari na wauguzi wengi ni waajiliwa wa Serikali ambao katika hizo Bilioni 91 wanazopewa hawamo bali wanalipwa na halmashauri.

Chukulia Tanzania kuna mikoa 30. Kila mwaka Serikali ingeamua kujenga District Hospital 3 na sekondari 3 na cho kimoja kutokana na pesa hizo wanazopewa kanisa. Kuanzia 1992 mpaka sasa kungekuwa na District Hospital 51 na Skuli za Sekondari 51 na vyuo 19 kutokana na pesa hizo tu. Jumlisha na pesa wanazotenga kwenye bajeti za wizara ya Afya na tamisemi. nfikiri kusingekuwa na haja ya Serikali kuwa tegemezi kwa kanisa.

Kumbuka kuwa huduma za afya zipo na zilikuwepo tokea uhuru, mbona hakuna aliyewahi kufa. MoU imeanzishwa 1992. Je tokea 1961 Dec wananchi walikuwa wanapata hudima wapi?

Fikiria kabla kuandika na ili kujali maendeleo ya nchi yake ni vizuri ufikirie kiuchumi zaidi na sio kisiasa.

Pole sana.

Jiulize mtu anapenda kupanga? Kama ingekuwa ni uchaguzi kila mtu angependa kuishi kwenye nyumba yake. The question here is huyo mtu (read serikali) haina uwezo wa kujenga nyumba yake (read kutoa huduma za afya, elimu kwa watu wake WOTE).

Nini kianze kutumia huduma zilizopo zilizojengwa na wakristu au kujenga kwanza hospitali zake. Your suggesting kujenga hospitali zake kwanza! It reminds me to put a cart before the horse. Ndio nikasema bila kuondoa huo umadrassa hii hoja itakusumbua sana.

Eti unadai hakuna mtanzania aliyekufa kwa kukosa huduma za afya kabla ya MoU!! CCM ni mabigwa wa uongo lakini huu wa kwako umepitiliza kipimo! Sina haja ya kuuijibu. FYI hata kabla ya hiyo MoU serikali ilikuwa ina subsidized DDHs zote nchini, kilichobadilika baada ya 1992 na kuweka hayo makubariano into writtings.

Hujui hata chanzo cha MoU kati ya taasisi za kikristu na serikali nini? FYI it goes back to Nyerere era pale Nyerere alipotaifisha mashule yetu (Wakristu) ili na nyinyi waislamu musome. Ndipo viongozi wa kikristu wakataka serikali iwahakikishie kwamba hatataifisha tena mashule na hospitali zao. Hiyo ndiyo chimbuko la MoU. Hillo la pesa lilitoka serikalini baada ya kuomba kusaidiwa kutoa huduma za jamii kwa watanzania WOTE.

Halafu Waislamu unformend kama wewe mnafikiri labda serikali inatoa hizo Tsh. 91 bilioni in cash kwenye hizo taasisi. Indeed hizo pesa zinatolewa in terms of kugharamikia madawa na vifaa tiba kutoka MSD, kulipia wafanyakazi wa seriklai wanaofanya kwenye hizo taasisi eg mahospitali eg Drs, nurses, pharmacist etc. Get real muslims

Baniani mbaya kiatu chacke dawa! mtatubeza lakini mwisho wake mtakuja kutibiwa kwenye hospitali zetu. Si leo wale kesho serikali hii ya CCM itakuwa na uwezo wa kutoa huduma za afya, elimu, na hata umeme (wenzenu RC juzi wamefungua mradi wa umeme huko kusini) kwa watu wake WOTE.

Nyinyi endeleeni kula kashata na kahawa na kufadhili Boko Haram na Al Shabaab ili walipue makanisa! Hivi kuna ugumu gani na nyinyi kwenda ku-sign MoU na serikali maana muislamu mwenzenu JK amesahakawaribisha. Ukweli ni kwamba you have nothing to sign with the govt. Mimi ninawashauri hizo pesa mnazopeleka Boko Haram, Al Shabaab , na wale jamaa wa ZNZ wanaolipua makanisa zitumieni na nyinyi kujenga shule na hospitali mnazidiwa hata na akina Agha Khan?! sijui hii dini iko je? Ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kutokuwa Mwislamu.
 
Kwa hiyo hata Profesa Shevji na Beregu ni wajinga hawakusoma sio?..

Duh,kumbe hawa ni waislam basi mna watu wanaoweza kuwasaidia kufungua akili zenu

ila swali langu hawa wasomi mnawakubali huko kwenye makongamano yenu kweli sababu najua

ukishakuwa msomi uislam haukukubali tena...jamani watumieni hawa manake wanakubalika

msiwabague kwa kisomo chao.
 
Sweke34.

kama unaangalia MoU kisiasa its Ok. Lakini kama unaangalia kiuchumi basi ina mushkeri mkubwa kwa Taifa lenu.

Nikuulize kwanini mlivunja mkataba na Richmond (Dowans).

Je hiyo inatofauti gani na Bilioni 91 wanazolipwa kanisa kila mwaka? Kwanini serikali isijenge vyuo na Hospitali zake na kutegemea na kujinasibu na hospitali za kanisa. (nimekupa mchanganuo huko juu kama itajenga vyuo 1 hospi 3 na skuli 3 kila mwaka sasa hivi wangekuwa na hospitali ngapi za kwake?

Fikiria kiuchumi na sio kisiasa.

Nakupa heri ya mwaka wako mpya 2012 Sweke.

Thanx. Heri ya mwaka mpya !
Hebu msome vizuri bobuk.
 
Bobuk,

Ndugu yangu tumia busara na akili katika kufikiria mambo kiuchumi zaidi.

Jiulize je ni busara mtu mwenye akili timamu kuendelea kuisifia nyumba ya kupanga badala kuisifia nyumba yake mwenyewe.

Jiulize kwa sasa Kanisa linakwapua Bilioni 91 kila mwaka. Je ni hospitali ngapi wangejenga Serikali kwa mwaka na zingekuwa mali ya Serikali. Kumbuka kuwa katika hospitali hizo madaktari na wauguzi wengi ni waajiliwa wa Serikali ambao katika hizo Bilioni 91 wanazopewa hawamo bali wanalipwa na halmashauri.

Chukulia Tanzania kuna mikoa 30. Kila mwaka Serikali ingeamua kujenga District Hospital 3 na sekondari 3 na cho kimoja kutokana na pesa hizo wanazopewa kanisa. Kuanzia 1992 mpaka sasa kungekuwa na District Hospital 51 na Skuli za Sekondari 51 na vyuo 19 kutokana na pesa hizo tu. Jumlisha na pesa wanazotenga kwenye bajeti za wizara ya Afya na tamisemi. nfikiri kusingekuwa na haja ya Serikali kuwa tegemezi kwa kanisa.

Kumbuka kuwa huduma za afya zipo na zilikuwepo tokea uhuru, mbona hakuna aliyewahi kufa. MoU imeanzishwa 1992. Je tokea 1961 Dec wananchi walikuwa wanapata hudima wapi?

Fikiria kabla kuandika na ili kujali maendeleo ya nchi yake ni vizuri ufikirie kiuchumi zaidi na sio kisiasa.

Pole sana.

Kiongozi wangu Barubaru,unapoteza mwelekeo kabisa na heshima inazidi kushuka maneno mengi alafu

upupu mtupu..jaribu kujisoma kama hautakubaliana na mimi..sorry kama nimekuudhi mkuu..
 
duu hii hatari mazeee yaani kongamano la kutetea maslahi ya wais..........u ndani ya katiba na si ya Wadanganyika.......sorry Watanganyika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kweli jiulize utaufanyia nn ukristo/uislam na si U-TZ!!!!!!!!!!! eeeee MOLA 2epusha na hili balaa :A S embarassed:

Umeona siyo,ni mitindiyo ya ubongo mpaka siku ya kufa,wameshasahau kwamba katiba ni ya watanzania wote.
 
Waislamu huwa mnanichekesha sana mnapojenga hoja. Huwa ninajiuliza hivi huko misikitini huwa kuna watu wa aina gani. NO wonder all muslims educated huwa hawasiklizi mawaidha baada ya sala!

Hizo pesa zinazotolewa na serikali ni kwenye taasisi za kikristu zinazotoa huduma kwa jamii. Sio kwaajili ya kuendeleza/kuendesha ukristu kama makanisa. FYI hiyo MoU haimo kwenye katiba ya nchi na haijavunja kipengele chochote cha katiba. Endeleeni kuwadanganya waislamu kwamba hospitals na shule zote za kikristu zimepatikana kutokana na MoU. Mtabaki watu wa kulalamika milele.

Imagine kama Mkoa wa Kagera hospitali zote za wilaya ni DDH (District Desgnated Hopital). Eti leo serikali iache kuzi subside hizo DDHs na ianze kujenga za kwake, hivi hiyo malaria, UKIMWI, Pneumonia, TB, ARS, etc yatakuwa yanawasubiri tu nyinyi waislamu hadi hizo hospitali zitakapomalizika?!

Mimi ninafikiri MoU hiyo ifutwe tu halafu kila mgonjwa atakayekwenda DDHs, Bugando, Agha Khan, KCMC etc aononesha cheti cha ubatizo kama anacho analipa 1/2 of the cost, kama mtu hana au ana sigida kwenye paji la uso analipa x 10 of Christians ili kufidia wakristu kwasababu ya kutumia huduma zao. Na hivyo hivyo kwenye mashule, kama watoto wa wakristu let say wanalipa 100,000/- per years as school fees, basi waislamu walipe x10 times, 1,000,000/- Nafikiri tukifanya hivi haya malalamiko yatakwisha na waislamu watatia akili kichwani na kujenga hospitals na mashule yao badala ya kuendelea kuwaonea husuda wakristu tu kwa mali zao.
Mkuu sasa haya matusi... najaribu sana kuwaondoa ktk fikra duni kama hizi lakini wapi mnazidi kunivuta tuu kama Al Pacino ktk mchezo wa sinema ya Godfather..

Hujui lolote kuhusiana na MoU bora nyamaza maana hujaisoma sheria ya katiba kuhusiana na ELIMU. naokuomba rudi tena kausome vizuri Muafaka huo kisha tafuta sheria ya nchi inayohusiana na swala hili utagundua kwamba CSSC sasa hivi ni idara ya wizara mbili za Elimu na Afya..Inahudumiwa kama idara nyingine zozote za serikali ingawa ni Ubia baina ya serikali na Kanisa.

Tatizo kubwa linakuja ni pale wananchi wanapotozwa gharama kubwa kuliko hata shule ama Hospital private.. na kama wewe unaona ni msaada tu kwa nini hamtaki kuachia? kwa nini wewe kama Mkristu unatetea hili kama Mkristu?..unatumia fikra za Udini na dini yako na sisi tunabisha kama Waislaam... Je huoni kama tumechonganishwa?
Ingekuwa waislaam wameshirikishwa hivi ungelalamika badala ya kuunga mkono hivyo jua hapa kuna tatizo.. Kifupi Haitakiwi serikali yetu kuunda ushirika na dini ktk maswala ya ujenzi wa Taifa...

Katiba ya Jamhuri inakataza serikali yetu kujihusisha na dini maana yenyewe haina dini isipokuwa watu wake, hivyo kanisa linapotoa Huduma kwa wananchi ni swala la kikanisa na ndio maana mnasifia kanisa kwa wajibu huo..Tunavyobishana hapa ni kuonyesha wazi kwamba serikali imetutenganisha kwa kukiuka Katiba laa sivyo tusingekuwa tunabishana kwa dini zetu uhalali wa kitu hiki..

Inasikitisha sana watu mnajiita wasomi lakini mnashindwa hata kuona mambo mdogo sana, hata hivyo sishangai ikiwa mtu unaamini mengine mazito ya kushtua kuliko haya!..
 
Mkuu ,hivi hii MoU kama inavunja katiba ni nini kinachowazuia waislam kui challenge mahakamani? Kama wewe unaweza kuonyesha jinsi MoU inavyovunja katiba jaribu kutuonyesha hilo hapa jamvini.
Je umefanya uchunguzi na kujiridhisha kuwa huduma zote za jamii hata zile zinazotolewa vijiji vya ndanindani kabisa gharama yake ni kubwa kuliko ya private hospitals nk?
 
Hapana! Barubaru wewe mtazamo wako si wa kiuchumi zaidi. ni wa kidini zaidi. Takwimu unazotoa hapa ni za mwelekeo wa dini kuliko uchumi, endapo ingekuwa uchumi ungesema kuwa hakuna sababu serikali kuendesha huduma hizo isipokuwa za msingi - primary health care, primary education na kujenga miundombinu kisha wenye uwezo (watu binafsi, makampuni na dini zifanye biashara).Kama ungekuwa mtazamo wa kiuchumi zaidi ungeongelea zaidi ubora/quality ya huduma za afya kwa vituo vya dini ukilinganisha na vile vya serikali. ungeongelea nidhani ya kazi kwa wafanyakazi kwenye vituo vya dini ukilinganisha na vile vya serikali. Kwa bahati mbaya zaidi hoja ilikuwa ya mkutano na imetoka huko na kuwa ni mjadala ya kidini. Swali hapa ni je agenda ya mkutano wa ijumaa ni MoU au katiba na vitu gani viwepo/visiwepo kwenye katiba>
Bobuk,

Nafikiri tofauti yangu na wewe ni kuwa wewe unatazama kisiasa zaidi MoU hiyo wakati mimi naitazama kiuchumi zaidi.

Kumbuka kuwa Kama utapata bahati ya kupitia bajeti ya Tanzania (Muungano) ya mwaka 2009/2010 na ile ya 2010/2011 na hata 2011/2012 kwanye jedwali lile la misamaha ya kodi kwa taasisi za kidini na NGO,s utagundua mengi sana.

Kumbuka kuwa makanisa hayo hayo kwa zaidi ya 86% wanasamehewa kodi na vile vile wanapewa bilioni 91 za kuendesha hospital/vyuo/ skuli zao na vile vile kama hospital kunakuw na waganga na manesi wanaolipwa na Serikali katika kuziendeleza.

Mimi nasimamia kuwa kama hospitali hizo zilijengwa na makanisa hayo ni vizuri zibaki kuwa za makanisa na watendaji wake wote wawe wanalipwa na makanisa hayo hayo.

Na serikali ijenge mahospitali yake na kuweka watendaji wake. Kushabikia nyumba yyyyya kukodi/ kupanga ni upunguani wa akili na urudishaji nyuma wa maendeleo ya nchi yenu. Naweza kusema ni wizi mkubwa kuliko EPA.

Jitazameni na mjikomboe katika janga hilo.

Kama unataka pia waweza kuuliza hivi: Wakati Jakaya Mrisho Kikwete anawataka Waislam nao wapeleke ombi kusaini MoU yao, aliwauliza wananchi? Kwanza hilo takwa la kuulizwa unalitoa wapi? Ukipeleka ombi lako serikalini ni hiari serikali kukubali au kukataa.Siyo lazima serikali ikuulize wewe au mtu yeyote au kikundi chochote.

Ningependa kujua ni kwanini hadi sasa Waislam hawajachukua hatua hadi leo hii kusaini MoU yao na serikali?
Ni kikwazo gani kinawafanya wasipeleke document yao kusaini na serikali na badala yake wanalalamika tu na kutaka MoU ifutwe? Kuna nia njema kweli?
Wana nini cha kuingia MoU na serikali? Hivi kuna hospitali yeyote au University yeyote zaidi ya ile waliyopewa ya Morogoro (By the way, hivi serikali ilwauliza wananchi kabla ya kugawa kile chuo bure kwa waislam??). Shukuruni kwamba wakristu wana ustaarabu hawana ulalamishi. I am sure ingekuwa wamepewa wakristu, wangejilipua.
 
Kwa hiyo wewe ndio msemaji wa Chadema? Wewe endelea kuhara damu..

Ni vigumu sana kutofautisha Kanisa na Chadema..

Ha! Ha! Ha! Ha! Hivi Wasomi wa Kikristu ndio umeifikisha Tanzania hapa ilipo? Nilikuwa sijui hongereni sana..

Na ile mikataba ya Madini kwenye migodi ya Buzwagi na Geita, ya miaka 99 waliifanya wasomi wa Kikirstu hongerini sana..

Mikataba ya Richmond, Bandari, Airport, wameifanya Wasomi wa Kikristu..

Nitajie hao wasomi wako wa Kikiristu wamelisaidiaje taifa letu kama sio kufanya ufisadi tu.

Lakini CDM katika kupinga ufisadi haiangalii dini ya mtu. ndio maana katika list of shame wakristu pia wapo.
Leo unakiri ufisadi CCM upo na wapo waliosababisha, mbona unakuwa kama wabunge wa Dar(ambao hoja za ufisadi serikalini unaoathiri wananchi wao hawakutani na kutoa matamko ukiondoa wale wa CDM ). CCM iwashughulikie basi hata kama ni wakristu. Fisadi ni Fisadi tu, na ufisadi hauna ukristu wala uislam dini ya fisadi ni CCM.
 
Back
Top Bottom