NgomaNgumu
Senior Member
- Nov 20, 2010
- 194
- 24
jaribu kua serious mazingira ya kuua ukitaka kuyajua angalia alivyonyongwa Saddam na alivyouwawa GaddafiSafi sana, mawazo mazuri. Nimekubali kila ulichosema na nitakuja kwenye kongamano. Ila kinachonitatiza ni kuwa, hawa waandaaji wamesoma kweli ile sheria ya mabadiliko ya katiba au ndio hakuna hata mmoja anayejua kusoma MAANDISHI DUNIA? Mule si imekatazwa kwa taasisi za aina yeyote ile kuandaa makongamano?
Kuhusu mazingira maalum ya kuuwa watu, hebu niambie ni yepi maana mimi nisije nikajikuta ktk mazingira hayo nikafa bure. Je yanamhusu na yule Sulleiman Rushdie?
Je kwenye kongamano, ubwabwa na nyama halal vitakuwepo?