Waislamu wauliwa kinyama

Status
Not open for further replies.
Waislam wa kweli, hawauwi karani wa serikali anayedai kodi, wislam wa kweli hawamiliki bunduki kupambana na polisi, waislam wa kweli hawaachishi watoto shule na kuwapeleka mporinikuwafundisha ukatili. Hao sio waislam, ni watu hatari kwa usalama wa nchi yetu. Watoto wameokolewa wamepelekwa kwa ofisa ustawi wanafanyiwa counselling
 
Si siku hizi tu, kuna vijiji Tanzania hii ni 100% Waislaam toka enzi na enzi.

Asiyelijuwa hilo atakuwa ni punguani.

Hilo linafanya viitwe vijiji vya waislam? Hata hivyo mleta mada inabidi aje na ushahidi wa kutosha, hata picha mbili basi!
 


ukweli upi unaofichwa ndugu yangu???ebu tueleze tusiojua kama wewe sio mnafki.
 
Hicho kijiji cha kiislam kwakuwa kipo tanzania basi sheria za inchi ni lazima wafuate.
 
Kijiji cha Kiislam??? Mtoa mada alitoka usingizini akadhani yuko Dubai hivi siku hizi tunajenga vijiji kulingana na dini? Hao wanaowaua waislam ni wa dini gani? Acha kuleta dhamira za udini hapa. Unatafuta kuungwa mkono kidini kwa maneno ya kupachika hapa. Mbona mlipoambiwa mnajifua kigaidi mlisema siyo waislam wanapopata yaliyostahili wanageuka kuwa waislam. Kama huna la kuandika just stay tuned, kusoma ya wenzako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…