Biblia inasema nini juu ya anachokula mtu? Tafadhari fafanua, ni mstari gani wa biblia unaonya juu ya alacho mtu? Yesu mwenyewe, na pia Paulo mtume amesema tuvipokee vyote kwa shukurani.
Misikitini/Makanisani kumekuwa Sehemu za Biashara?
IMEANDIKWA NYUMBA YANGU ITAKUWA NYUMBA YA SALA NYIE MMEFANYA PANGO LA WEZI- YESU KRISTO
hata ukilamavi ni sawa? somavizuri BIBLIA mpendwa
Wewe ni Muislam Kweli, Mbona umeandika sentensi zilizonyooka hivi?, kama kuna Waislam tisa kama wewe humu JF, naamini hadhi ya Dini hii itaanza kurejea.. Mungu akujaalie zaidi khekima Na wepesi
Mkuu wewe ni mkristo? Unasoma Biblia? Basi nitakupa vifungu vichache tu na wewe ukipata nafasi visome.'Tuvipokee vyote kwa shukrani.....' Pole sana! Basi hata kama ukiibiwa inabidi ushukuru!!!!!!!!!!
Kwa tafsiri yako ya neno "vyote"
Mkuu wewe ni mkristo? Unasoma Biblia? Basi nitakupa vifungu vichache tu na wewe ukipata nafasi visome.
Warumi 14: 14. Najua, tena nimehakikishiwa sana katika Bwana Yesu ya kuwa hakuna kitu kilicho najisi kwa asili yake; lakini kwake yeye akionaye kitu kuwa najisi, kwake huyo kitu kile ni najisi.
1Wakorintho 10: 25. Kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni bila kuulizauliza kwa ajili ya dhamiri. Maana dunia ni mali ya Bwana na vyote viijazavyo. Na mtu asiyeamini akiwaalika; nanyi mnataka kwenda, kuleni kila kitu kiwekwacho mbele yenu bila kuuliza uliza kwa ajili ya dhamiri.
Mathayo 15: 10. Sikilizeni, mfahamu; sicho kiingiacho kinywani kimtiacho mtu unajisi; bali kitokacho kinywani ndicho kimtiacho mtu unajisi.
Haya bishana na biblia sasa.
Eeh kumbe najadiliana na zuzu! Wewe si nimekupa misitari ya biblia uisome mwenyewe?Namba moja. Paulo amehakikishiwa na Yesu......kivipi? Alimhakikishia wakati huo Yesu akiwa wapi? Ni wapi Yesu anasema yeye mwenyewe?
Namba mbili: Sokoni huwa wanauza najsi???
Namba tatu: Kila kimtokacho mtu kinywani......Wewe unadhani kimtokacho mtu kinywani ni chakula???
Wewe ndo unabishana na biblia maana huijui............!!!!!
Si lazima kupost kila kitu hapa JF. Kama umeona wanachinja, sisi inatuhusu nini hapa? Wenzetu wanafikiria kupeleka binadamu katika sayari ya Mars, sisi bado tunajadili mambo ya kuchinja. Shame on us black people with black brains.