Waislamu tukatae udini wa akina Ponda

Comrade "Mapogolo" japo sina uhakika na dhehebu lako asante sana kwa thread yako objective; cha msingi hapa sio dhehebu lako bali mantiki iliyomo kwenye thread yako, nina uhakika "mabwete" wengi wasiotaka kuumiza vichwa vyao badala yake wanaamua kujificha nyuma ya uongo na visingizio watakukashifu sana kwa thread kama hii.

Usiogope!! kwa sababu watu wanaoweza kuwa proper agents of change mpaka tuondokane na janga hili la kina Ponda ni watu kama wewe ambao wakipatikana kina Mapogolo wengine jasiri kama 100 wa kuita "a spade a spade" na sio kijiko kikubwa! basi taifa letu linaweza likaepukana na kikombe hiki cha maangamizi ya halaiki yanayotujia kwa kasi kubwa.

Mtu kutoka madhehebu zaidi ya uislamu hatasikilizwa kwa sababu wanaojificha nyuma ya imani ya uislamu kutenda maovu wanaujua ukweli lakini hawapendi ukweli usimame, wameamua kumpa ibilisi nafasi katika akili na nyoyo zao kwa malengo ambayo sio rahisi mtu mwenye akili timamu kuelewa hata kidogo!!
A big up "Mapogolo" keep it up, continue to pay lip service to this cause; wapo watanzania wengi watakuunga mkono katika juhudi hizi za kuifanya Tanzania yetu tuipendayo mahali salama pa kuishi sisi wote, wakristu, waislamu, Bahai, Budhists, copts, animists na wapagani, wala Nguruwe, wala mbwa na nyoka bila kubughudhiana hata kidogo.
 
Kwanza tujiulize hao waislam wanayoibua chuki ili nchi ikose AMANI, walitusaidia nini sisi waislamu wenzao? Ndiyo wanajinufaisha wao na familia zao na kuokota vimada Makafiri na kuwapeleka Nje. Kama kweli ni wazuri na wameyaona haya kwanza wangepeleka fedha kwenye jumuiya zetu ili shule nazo zijengwe kama wakristo wanavyofanya na hospital baada ya hapo tuone wanayosema. Wanatudanganya wazidi kutuvuruga kwa hili TUKIIUNGANA WAISLAM TUKAMUOMBA ALLAH UNAFIKI WAO UTAWAANGAMIZA WENYEWE.

Na wewe leo umeshakua muislam? yaani ulivoanza kuandika tu ikajidhihirisha ww si muislam bali ni mnafiki usidandie imani isiyo yako, ww na mleta mada wadanganyeni wangija wezenu.
 
Sijawahi ona thread yoyote iliyoandikwa na muislam humu jamvini kutoa malalamiko au kutusi iman hii ya upande wa pili,,kwanini mnapenda sana kutufuata fuata??wapo wanaodiriki kuitukana had qur an yetu na kuendelea kuudhalilisha uislam wetu,,kwani vipi??kama watu tumepotea leave us alone,,kwanin muonekane kuguswa na kuumia sana kwa sisi kua waislam??kwani mkoloni alipoondoka na kuwaachia hii dini aliwalazimisha??tuacheni haya mambo,bila wazee wenu hapo zamani kuja kutawaliwa na kufanywa watumwa kisha wakaachiwa hii dini na mkoloni nyie leo mngekua wakristo??whats so special about christianity to ur origination??
Kwanini mnapenda kutufata fata sana,nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu why mnapenda sana kutufanyia choko choko??
Makafiri tunaomba kila mtu achukue time zake,kila mtu achukue ustaarabu wake aamin kile anachokiamin,,

Mkuu hao jamaa wamezidi yaani kila siku humu ni matusi na kashfa zidi ya waislam. imetosha sasa kuweni wastarabu lasivyo mtaendelea kulia kila siku kwani dawa ya moto ni moto.
 
Ponda kwanza si shehe bali shehena. Isitoshe wa kulaumu ni serikali inayosita kumrejesha kwao Burundi ili akajibu tuhuma za kushiriki mauaji kule.
 
wewe ni wakala wa kanisa,kila muislam mwenye chembe ya imani anamtambua ponda kama kiongozi ambaye kwa kiasi kikubwa kasaidia kutoa elimu iliyowasaidia waislam wengi kujitambua.ubaya na udini wa kafiri nyerere upo wazi kabisa na naamini hata wewe unafahamu.kamwe makafiri hamtakaa salama huku mkiuchokoachokoa uislam,tunataraji siku moja itangazwe jihad,,,,tusubiri
 
nyerere ni rais pekee duniani aliyenyang,anya shule na mahospitali ya waumini wa dini yake (wakristo) ili wafuasi wa dini isiyo ya kwake( waislamu) wasome na kutibiwa lakini anatukanwa zaidi na waislamu kuliko wakristo unafikiri utamfanyia nini mwisilamu ili kukidhi haja yake labda ubadili dini na tanzania yote kuwa ya waislamu.

hio ilikuwa kiini macho tu...waliondelea kusoma ndani ya shule hizo ni wakristo
walimu wakuu waliendelea kuwa wakristo
misa ziliendelea katika shule hizo
kwaya ziliendelea katika shule hizo
alitaifisha kwa lengo la kuzuia waislam wasijenge mashule yao katika tanganyika huru alijua waislam walikua wapo mjini na wengi ni wafanya biashara wangeweza kujenga mashule yao
kwanza alitaifisha nyumba zote mijini ..nyumba hizi 70% zilikua za waisalm ...hii ilikuwa ni mbinu ya kuwadhofisha kiuchumi
alihakikisha wanaokwenda chuo kikuu wengi wanakua wakristo
sasa huo upendelo upo wapi?

Na tukatae udini upi wa ponda ?
Kusema ukweli? Au ndo ukweli unauma
hebu kuweni wazi
waambieeni necta waache mtindo wa majina katika mitihani waanze kutumia namba
basi ukweli hamuataki hata haki ?
Ponda amejitolea kusema ukweli
nchi inanuka dhulma
na ponda na wenzake wana ionesha dunia namna dhulma hii inavo tafuna taifa
 
Watanzania, ni busara kila mmoja aheshimu dini ya mwenzie ili tulinde Amani yetu, cha msingi tuna mungu mmoja na sote tulizaliwa na tutakufa kwa wakati stahili. Chondechonde wapendwa tudumishe Amani, vita mbaya msione katika TV tuu.,

Eh mola tuepushe na hili balaa la kututenganisha kwa udini. Na hao wanaofanya ukorofi wa makusudi ni vyema wakachukuliwa hatua za kisheria. Lazima tuheshimiane.
Mungu Mmoja yupi??
 
Na wewe leo umeshakua muislam? yaani ulivoanza kuandika tu ikajidhihirisha ww si muislam bali ni mnafiki usidandie imani isiyo yako, ww na mleta mada wadanganyeni wangija wezenu.
Bila ya kujali iman yake je? Yanaukweli kiasi gani hayo aliyoyaandika?
 
wee kafiriiii sisi waislamu tuanojitambua tumekwisha amka ule uislamu ubwabwa sasa hamna tena hapa mpaka kieleweke

na tunamuunga mkono kamanda wetu ponda issa ponda 100%.

Ndugu usitumie sisi Waislamu, kwa sababu unaeleza mawazo yako na si ya waislamu wote.

Inaelekea we si muislamu, kama ni muislamu basi si muislamu safi. muislamu safi hawezi akamshabikia Issa Ponda. Issa Ponda ni mhuni, si muungwana Na ni mchochezi. anachonganisha watanzania kwa kutunga uwongo. kwa mfano soma walaka uliotolewa na ponda na wenzake kwa waislamu, umo humu jf.

Huhitaji akili ya kiprofesa kuelewa kwamba huo walaka umeandikwa na mtu mwongo, mmbeya na asiyetumia akili.

Wafuasi wa Ponda ni watu waliofilisika kiakili na ni wavivu kutafuta ukweli wa mambo.

kuna post kwenye jukwaa la siasa imeandikwa 'ujumbe muhimu kwa wote' usome, unaelezea jinsi ambavyo Waislamu, Wakristu na wasio na dini wanapaswa kuishi pamoja.
 
ngoja na mimi nijifanye mtabiri.
Kutokana na Waislami wengi kupenda kusikia maneno ya Ponda hasa yenye uongo uongo kitakachotokea ni hiki
Vurugu kubwa na vita ya kidini amabayo itatukumba sote kwakuwa mtego wa panya unasa waliomo na wasio kuwemo. Akina mama, wazee, watoto wasio na hatia watapoteza maisha kutokana na uongo uongo wa mtu mmoja.
Vurugu zitasambaa mikoa yote ya Tanzania kutakuwa hakukariki na watu watageuka wakimbizi. Haya yote UN washayaona kama ambavyo waliona dalili zote za vita Rwanda lakini hawakuchukua hatua makusudi.
Ponda+Pengo+viongozi wakubwa wa dini na serikali wao watakimbia nchi.
Ponda ataenda mashariki ya kati akiwa anakula raha atawambia waumini wake endeleeni kupigana muwaue hawa makafiri. Pengo akiwa vatican atakuwa anasisitiza amani lakini hata hayuko nchini na yeye yuko huko anakula raha.
Wakuu wa serikali wengine watakuwa uswiss.
Baada ya watu wengi kufa sina hakika iwapo mimi nitasalimika UN itaingilia kati kujaribu kuleta amani. Ponda na radio imani na watangazaji wake watasakwa na Mahakama ya kimataifa kwa kosa la kuchochea vurugu zilizo pelekea mauaji.
Tanzania itakuwa si nchi salama tena kuishi maana chuki baina ya Wakristo na Waislamu zitabaki mioyoni mwao.
Watoto watabaki yatima, familia zitateketea, maiti zitakuwa zimetapakaa barabarani. Watu watakuwa kwenye makambi ya wakimbizi wakingojea masaada wa UN kwa chakula, maji na marazi.

Jamani do you real want to see this happening?
 
Kadanganye ukoo wako eti wewe muislamu wakati andika yako tu unaonekana mgalatia

Tatizo lenu ninyi hamsomi maudhui bali mnatafuta kwanza dini ya mwandishi. kama kaandika mwislamu hata kama pumba mnakubaliana ila akiwa ameandika dini nyingine hata ukweli uwe mkubwa kiasi gani lazima mbishe.Mimi siwashangai
 
Wajibu tulio nao kama watz ni kudumisha amani,upendo na mshikamano wa nchi yetu,mijadala inayohusu imani si busara sana kwa sasa,kama kuna mtu anakiuka sheria na taratibu za nchi atachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.watz hatuwezi kugawanywa kwa misingi ya hisia na imani,tumekuwa wamoja siku zote na tutaendalea kuwa wamoja siku zote na inapotokea mmoja hafuati sheria basi aripotiwe kwenye vyombo vya dola kwa hatua za kisheria.waislam na wakristo sote tuna wajibu wa kuendeleza tz yetu ktk misingi ya kiuchumi,kijamii na kisiasa na kila mmoja kuheshimu imani ya mwenzake pasi na kunyoosheana vidole.
 
mimi nadhani waislam tulio wengi hatuna elimu ya kutosha (elimu dunia) wengi wetu tumesoma quraan sana ila vidato hakuna, siyo sawa na wenzetu wakristo ambao wamesoma dini yao sana na elimu dunia pia kwa sana. vigezo vya kuwa padri au askofu ni lazima uwe umesoma kweli na uadilifu hasa, ila sisi waislam vigezo vya kuwa kiongozi wa dini ni kuelewa quran sana bila elimu nyingine ya ziada. haya ndiyo matatizo tuliyonayo, na vijana wengi wa kiislam shule yetu ni ndogo hivyo uwezo wa kujua jambo jema na baya ni mdogo sana.sina hakika kama Ponda na wajinga wenzake wanaomsikiliza kama kuna hata mmoja kwenye elimu ya degree ya kwanza au ya pili. wote kwa mamia ni form iv. hivyo mambo wanayofanya sishangai sana
 
waislamu acheni kabisaaaaaa chokochoko za kumtoa nyoka pangoni, zanzibar mmechoma makanisa kwa kisingizio cha vurugu za kudai muungano uvunjike lakini ukweli ni kwamba mlishapanga kuchoma hayo makanisa na watu wakawavumilia, HIYO ISHU YA KIJANA KUKOJOLEA MSAAFU MLIIPANGA ILI MKAMILISHE AZMA YENU YA KUCHOMA MAKANISA MBAGHALA(HIYO MBINU TUMEIGUNDUA). Sasa basi kumbukeni MSIMSHIKE SIMBA MPOLE MAKALIO.
 
Back
Top Bottom