Na pia kuvumiliana bila haki haiwezekani @ Mwanaasili. NAomba nikuulize swali moja tu-je unadhani waislam wanaodai kuwa kuna mfumo usiokuwa wa kiadilifu hapa Taznaznia wanakosea/wendawazi/wanatumiwa? Ukishaelewa utakuwa na ujasiri wa kujikosoa hata kama wewe mwenyewe ndo msimamizi wa kutoweka kwa uadilifu na hivyo haki. Waislam tunataka Hki itendeke miongoni mwa jamii nzima siyo kupendelewa hapo utaona Tanzania itakavyokuwa ya amani lkn siyo amani ya kugandamizwa kwa msuli wa serikali kwa kutumia majeshi, polisi na mgambo -wajue hao tunakaa nao mitaani kama raia sawia wao wakubwa wanakaa na kulindwa. Kanisa lichukue nafasi yake kuishauri serikali kuhusu kutenda haki na wao (Kanisa) wawe tayari kuruhusu haki itendeke, tusiimbe amani wakati hatutaki kutenda Haki. Anyeonewa akijirisha kuwa anaonewa na hana cha kupoteza ni mmbaya mno kuliko tunavi=ofikiri-jeshi ploisi, mgambo na kanisa hataweza kuzuia umma uliochoka na kuamua vinginevyo. wachukue tahadhari mapema ikiwa wote wanaipenda tanzania akiwamo bwana mwamaasili