residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,528
- 13,449
Hakuna "Xmass", kuna Christmass.
Sikukuu ya kukumbuka kusulubiwa na kufa kwa YESU KRISTO sio Christmass, ni Pasaka.
Sikukuu ya kukumbuka kusulubiwa na kufa kwa YESU KRISTO sio Christmass, ni Pasaka.
Dini haijakataza kushirikiana wala kuishi na wasio waislam ila dini inakataza baadhi ya mambo. Mfano kusherehekea sikukuu zenu.
Mfano xmass, akija kusherehekea nawe xmaa maana yake anakubali kuwa yesu alisurubjwa msalabani na kuuwawa kinyume na utaratibu (imani) ya dini kuhusu tukio lile, ila ikiwa ndani ya siku hiyo hiyo ikawa umemualika aje na familia, zipate kuonana, kufahamiana nakdhalika hapo hakuna kosa,
Sijui kama umenielewa.
Ni kama kungekuwa na 9/dec na wengine wanaamin ilitokea 12/jan hivyo wa 9/dec akila na wa januari maana yake ameamini ya Januari.
Hivyo kama unampa futari mpe tu kama siku nyingine isiwe kwa nia ya KUSHEREHEKEA,



