josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 640
Mimi ni Mkristo na kama mjuavyo tutakuwa na sikukuu ya pasaka siku ya Jumapili.
Sasa swali linaloniumiza kichwa ni hili, kuna rafiki yangu tunafanya kazi pamoja, pia ni majirani. Mimi nimeoa ila yeye yuko single na amefunga mwezi huu Ramadhan.
Je, naweza kumwalika nyumbani kama kumfuturisha hiyo siku ya jumapili? Au naweza kumpelekea chakula hiyo siku jioni badala ya kuja home?
Au nikaushe tu? Msaada wenu tafadhali.