Waislamu, mnajisikiaje mnapoyasikia haya?

Status
Not open for further replies.

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
26,829
Reaction score
38,912
Nimesikitika sana niliposikia kupitia DW kwamba boko haramu wameua wanafunzi 47 kwa bomu la kujitoa muhanga nchini Nigeria.

Hili kundi linapigana chini ya mwavuli wa dini ya kiislamu, kuthibitisha hilo ni kwamba sijawahi kusikia nchi yeyote ya kiislamu duniani ikiyalaan/kuchukua hatua kwa makundi ya kigaidi yanayo ua watu kwa kisingizio cha kutaka utawala wa sheria za kiislamu?
Je, ninyi waislamu mnajikiaje mnapoona dini yenu inatumika kuua watu hivi?

Watoto 47 kuuawa inahuzunisha sana ndugu zanguni. Hii ni dini ama laana??
 
Masheikh zetu tu wa UAMSHO tumeshindwa kuwatoa mahabusu pamoja na kuwa Askari magereza wanawalawiti..! Kama ya nyumbani tu yanatushinda siwezi kupigia kelele ya mbali
 
Nmesikitika sana niliposikia kupitia DW kwamba bokoharamu wameua wanafunzi 47 kwa bomu la kujitoa muhanga nchini Nigeria.

Hili kundi linapigana chini ya mwavuli wa dini ya kiislamu, kuthibitisha hilo ni kwamba sijawahi kusikia nchi yeyote ya kiislamu duniani ikiyalaan/kuchukua hatua kwa makundi ya kigaidi yanayo ua watu kwa kisingizio cha kutaka utawala wa sheria za kiislamu?
Je, ninyi waislamu mnajikiaje mnapoona dini yenu inatumika kuua watu hivi?

Watoto 47 kuuawa inahuzunisha sana ndugu zanguni. Hii ni dini ama laana??

Waislamu wanahusika vipi na boko haramu wewe punguani?
 
Msichanganye madawa hapa.

Hao boko haram ni wanasiasa wanaovutana na wanasiasa wenzao(kuna mchezo(filamu) unaochezwa na wenye manufaa yao).

Dini na siasa ni vitu viwili tofauti
 
hayo ndiyo madhara ya kuwabagua ktk elimu na kazi za umma!jee waislam wameondolewa wote mji wa Bangui CAR jee nchi gani imelaani?
 
Waislamu wanahusika vipi na boko haramu wewe punguani?

Ona mwingine huyu! Hivi unajua wanchopigania boko haramu?

Boko haramu wanataka Nigeria itawaliwe kwa sheria za dini yako ya kiislamu, sasa hapo uta tofautisha vipi kati ya uislam na bokoharamu wakati hampingi hata kwa maneno tu kile kinachoendelea?
 
Msichanganye madawa hapa.

Hao boko haram ni wanasiasa wanaovutana na wanasiasa wenzao(kuna mchezo(filamu) unaochezwa na wenye manufaa yao).

Dini na siasa ni vitu viwili tofauti

mwenyewe unajua umeandika uongo...
 
mwenyewe unajua umeandika uongo...
Ili iweje?

Amka wewe, usipende kuamini kila unachosikia kuna watu wanapotaka masilahi hawasiti kufupisha maisha ya watu kwa ajili ya manufaa yao
 
Waislamu wanahusika vipi na boko haramu wewe punguani?

We Ndo Zuzu Kabisa, Israel Ilipoishamburia Gaza Waislam Mliandamana Kupinga Mashambulizi Hayo Ya Israel, Sasa Mbona Hukuhoji Waislam Walihusikaje Na Mambo Ya Gaza?
 
Huko kuna vita kati ya hao Boko Haram na majeshi ya Nigeria, unategemea nini?
 
Kuna waliozaliwa kwa ajili ya ubishi na kukataa ukweli.
Kuna waliozaliwa kwa ajili kupokea kila wanachopewa lakini hawajitumi kuutafuta ukweli.
Wakati mashekhe wanapotoa mawaidha juu ya uharamu wa kuua,hakuna muhandishi wa habari anaekwenda kuchukua habari hiyo kwani anaona ni mambo ya kiimani.
Soma hata hapa kupata kitu kidogo https://www.jamiiforums.com/habari-...ramu-katika-vazi-la-uislamu.html#post11029756
kuna tofauti kubwa kati ya uislamu na ugaidi,makundi yanayojiita ya kiislamu na propaganda za wizi wa rasilimali.
Haya,we kaa mtandaoni ukifikiri utajifunza uislamu.
Huku utajifunza tu kupokea kile kinachoandikwa.
 
Nmesikitika sana niliposikia kupitia DW kwamba bokoharamu wameua wanafunzi 47 kwa bomu la kujitoa muhanga nchini Nigeria.

Hili kundi linapigana chini ya mwavuli wa dini ya kiislamu, kuthibitisha hilo ni kwamba sijawahi kusikia nchi yeyote ya kiislamu duniani ikiyalaan/kuchukua hatua kwa makundi ya kigaidi yanayo ua watu kwa kisingizio cha kutaka utawala wa sheria za kiislamu?
Je, ninyi waislamu mnajikiaje mnapoona dini yenu inatumika kuua watu hivi?

Watoto 47 kuuawa inahuzunisha sana ndugu zanguni. Hii ni dini ama laana??
Boko Haram wanapinga elimu ya kimagharibi,sasa tuangalie uislamu unasemaje kuhusu elimu?
  • Je watakuwa sawa aliye na elimu na asiye na elimu (aya katika Quran) na jibu lake ni la!!
  • Kuna hadith ya kuwa "itafuteni elimu hata ikiwa ni China"
  • Kuna hadith ingine "pasingekuwa na ulamma wajinga wangeangamia".Ulamaa hapa si lazima wasoma quran,ni watu wote walio na elimu fulani.Hebu fikiria operation aliyofanyiwa Rais wetu,bila kuwa na watu wenye taaluma hiyo ingekuwaje?
Uislamu unahimiza sana kuhusu elimu ni ujinga uliokithiri kuunganisha Uislamu na Boko Haram,hao ni fanatics!!!
 
Na mimi Naku uliza wakati wayahudi wana wauwa innocent Palestines dunia yote ya magharibi na watu kama wewe mlijisikia vipi? anyway mimi sisapoti umwagaji damu wa aina yoyote awe mkristo au muislam lkn wewe thread yako ina elements za udini, tafakuri.
 
Huko kuna vita kati ya hao Boko Haram na majeshi ya Nigeria, unategemea nini?

Ingekuwa ni waislamu tu wanaokuwa targeted usingeandika kamwe ulichokiandika hapa! Halafu unavyojitia upofu; wanafunzi ndio jeshi? Mnafiki mkubwa wewe, watoto wako huwaruhusu kwenda shule?
Wewe si ccm na muislamu mwenzenu si ndio rais? Basi mshauri ili apige marufuku watoto wote wa kiislamu kusoma kitu chochote zaidi ya Koran!
 
Mimi nachelea sana kuviita hivi vikundi ni vya kiislamu kuna mda hivi vikundi vinaanzishwa tu ma wahuni na kujiita vya kiislamu na kuna vingine vinapandikizwa na nchi za Magharibi ili kuvuruga amani katika mabara ya Asia na Afrika kwa mfano mtu kama Osama alikuwa jasusi wa kimarekani Lakini baada ya kutofautiana na wamarekani akaona njia rahisi ni kujificha kwenye uislam nadhani wakishasema wanapigania uislam kuna baadhi ya waislam wanaovutika kirahisi kujiunga nao
 
Boko Haram wanapinga elimu ya kimagharibi,sasa tuangalie uislamu unasemaje kuhusu elimu?
  • Je watakuwa sawa aliye na elimu na asiye na elimu (aya katika Quran) na jibu lake ni la!!
  • Kuna hadith ya kuwa "itafuteni elimu hata ikiwa ni China"
  • Kuna hadith ingine "pasingekuwa na ulamma wajinga wangeangamia".Ulamaa hapa si lazima wasoma quran,ni watu wote walio na elimu fulani.Hebu fikiria operation aliyofanyiwa Rais wetu,bila kuwa na watu wenye taaluma hiyo ingekuwaje?
Uislamu unahimiza sana kuhusu elimu ni ujinga uliokithiri kuunganisha Uislamu na Boko Haram,hao ni fanatics!!!

Kingine cha kustaajabisha ni kimoja, si kwamba jamaa wanasafiri kwenda kuua Wakristo kwenye miji yenye Wakristo wengi!! Wanapiga katika mji ule ule wenye Waislam wengi, it means jamaa hawana target maalum wanamuua nani na wanamtaka nani. Ni kama waasi wa Congo waaona raha kuua tu

Uwe Muislam au Mkristo lakini siku hiyo bahati mbaya umekaa kwenye target zao wanakuua, hata ukiangalia majina wanaouawa mengi ni ya Kiislamu tu sababu ya miji wanayopiga, jamaa siwaelewi kabisa!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom