Longoshe
Member
- Jul 30, 2022
- 52
- 66
#IRAN KILICHO NYUMA YA MAANDAMANO DHIDI YA HIJABU NCHINI IRAN.
Mnano tarehe 16 mwezi wa 9 mwaka 2022 kilitokea kifo cha bint Mahsa Amin
Amefariki akiwa katika kituo cha polis mjiji Tehran na akiwa mikononi mwa polisi wa maadili wa Iran
Kosa la bint huyu ni kutovaa hijabu katika maisha jumla( mitaani,sokoni ofisini, nk)
Kama uislamu unavyoamrisha kwa binti wa kiislamu aliyefikia Baleghe avae hivyo
Jambo hili limesababisha kuripuka kwa maandamano nchini Iran na kuibuka kelele kutoka nchi za Magharibi
zikishirikiana na mavuvuzela yao (vyombo vya habari na vyama vya haki za binadamu) kulaani na kupinga vikali tukio hili
Je kuna nini nyuma ya pazia?
Tutatupia jicho katika nukta kadhaa juu ya qadhia hii
1 Nchi za magharibi.
hawa ndio chanzo cha matatizo ulimwenguni kwa kuandaa matatizo kusudi na kujifanya kutoa utatuzi.
Hawa ndio wapishi wa machafuko yote duniani kisha hujifanya kuwahi kwa mbele na kujifanya kuja na utatuzi
hivyo hawana ila unafiki tu, na pia huchagua matatizo ya kupigia kelele na mengine hukaa kimya cha mfu
Tumeshuhudia tukio kama hili hili la hijabu nchini India
mabinti wa kiislamu kupigwa na kuzuiliwa kuingia darasani na wakilazimishwa kuvua hijabu
Hawa wote walikaa kimya,
Hatukusikia kelele za haki za binadamu, uhuru binafsi, na elimu kwa mwanamke, vyote hivi havikusikika
2, #HAKI_ZABINADAM, Hawa hawana ila unafiki tu,
wao wanasubiri maagizo toka kwa mabwana wao tu, ndio hupiga kelele.
wana weza kupiga kelele juu ya kuchinjwa mende mwezi mzima lakini wakakaa kimywa juu ya kuchinjwa binadamu 5000 mbele ya macho yao.
Hawa ni mavuvuzela tu wanapaza sauti za mabwana wao na sio kutetea haki za wanadamu.
bint mwenye umri chini ya miaka kumi na nane akilazimishwa na wazazi wake kuolewa watapiga kelele mwaka mzima kwamba amepokonywa haki yake.
Lakini binti huyo huyo akitaka yeye mwenyewe kwa ridhaa yake kuolewa lakini wazazi wakamzuia hawafungui mabakuli yao kwamba kanyimwa uhuru wake na maamuzi ya mwili wake
waislamu wangapi wamekamatwa na kupotea duniani?
wao kimya cha mfu,
3 SERIKALI YA IRAN
Je ni kweli serikali hii inashida na uislamu? Hivyo inaumwa na hijabu vazi la kiislamu?
Ni sheria ngapi za kiislamu Iran haitaki hata kuzisikia?
Imekamata waislam wangapi na kuwa uwa wanao taka kweli sheria za kiislamu?
Sheria za Iran za uchumi, siasa, jamii, utawala, nk zote sio za kiislamu bali ni za kibepari
Katiba ya Iran haielewiki msingi wake ni upi
Imetambua kukusanya mambo yenye kugongana kiitikadi.
1 uislamu.
2 democrassia.
3 umajusi.
Yote hayo yamo ndani ya katiba ya Iran yametambuliwa
Hivyo haikuwa ajabu kwa serikali ya Iran kuitambua rasmi siku tukufu ya ya kimajusi ya kuabudu moto NAIRUZ na kuipa hishma kwakutoa likizo kwa watumishi wa serikali ili wakasherehekee ibada ya kuabudu moto
Iran ili saidiana na Amerka kuuwa waislamu Afghanstan mwaka 2001
Ilishirikiana na Urus kuuwa waislamu Adhribjan mwaka 1994 na na pia 2021 na Armeniya
Ina chinja waislamu Yemen ikilitumia genge lake la kigaidi Huthy
Imetelekeza Aqsa ikinajisiwa na mayahudi miaka zaidi ya 40.
eti hufanya maandamano tu dhidi ya mayahudi yanayo ishia kujipongeza kwa sufuria za pilau jioni ya siku ya Qudus day
Nchi hii ni Sawa na Saudia.
zimetengenezwa na wamagharibi kuvunja uislamu
ila zikaambiwa wachukue sheria mbili tatu za kuwalazia waislamu
na hasa sheria zenye kuwahusu wanawake zaidi
Hivyo wakatilia mkazo hijabu, na vikwazo vingi na kadhaa kwa wanawake
Lengo nikutoa picha ya hadaa kwamba ni nchi zenye kufuata uislamu
Lakini kwa wamagharibi kwao ni mtego watakao utumia kupenyezia fikra zao za uhuru
na kupiga kelele za ukandamizaji ili ifunguke milango yote ya uchafu wa kimagharib
hivyo wamagharib wakawaachia watawala wa Saud na Iran kushikilia sheria ya hijabu kwa ukali na mabavu ili muda muafaka ukifika watumie kama cheche ya kuripua na kuhitimisha kuingiza uchafu wao woote
Na Saudia si mbali, na mripuko huo utakuwa mbaya zaidi kuliko ya Iran.
wao watatembea uchi kabisa kama walivyo zaliwa kwani Kuna fukuto kubwa sana la chini kwa chini linasimamiwa na mwana mflame mwenyewe wa Saudi na masheikh wanao jaribu kuligusa wanakamatwa na kupotezwa mimbari zimebakia kwa wale masheikh wanao jiliza wakimuona mtu amenyoa ndevu
4 WAANDAMANAJI
Si kweli kwamba wana andamana kwa sababu ya kupinga kuuliwa tu kwa binti huyu
Bali hawa waandamanaji hawaungani katika sababu za kuandamana.
wamo makundi kadhaa na sababu kadhaa
A.chuki dhidi ya serikali ya Iran hivyo wana chukua fursa hii kutoa duku duku lao
B .ugumu wa maisha
C. Vikundi vya kipagani vya kupinga uislamu.
ambayo vimekuwa vikifanya kazi kwa siri na kwa miaka mingi sana, vikijikusanya na kujijenga,
vikitumia maneno ya kuhadaa watu kama haki za binadamu, kupinga mfumo dume, ukatili wa kijinsia, haki za mashoga, nk
Na mapagani hawa wanafanya kazi hii Saud na Arabuni kote kwa ujumla.
Kazi hii wana ifanya kwa juhudi kubwa sana, wakimiminiwa mamilioni na nchi za kimagharibi.
na serikali za Iran Saud nk zina jua na hazichukui hatua zozote kama ilivyo Afrika.
makundi haya ni mengi na kwasasa yanaanza kujitokeza kidogo kidogo bila haya wa soni wakitaka uchafu wote wa kimagharibi uhalalishwe.
Hivyo wandamanaji Iran si chuki tu dhidi ya mauaji bali ni chuki dhidi ya uislamu na alama zote za kiislamu ikiwemo hijabu adhana nk
Kwani hijabu na adhana mathalani, ni alama kubwa sana katika jamii husika kwamba hapa uislamu upo au haupo.
Hivyo maandamano ya Iran sio ya kupinga dhulma aliyo fanyiwa binti huyu bali ni ya kupambana na ishara za dini na kuingiza umafharibi
Saud na Iran hazikuwa andaa wanawake wa kiislam kuvaa hijabu kifikra na ki ikhlasi,
bali kwa nguvu ya sheria na ukali wa askari maalumu.
Hili ni tatizo kubwa sana kwani ni bomu ambalo muda wowote lina ripuka
Waandamanaji wanachoma hijabu, je sheria ya hijabu ni ya Allah au ya serikali ya Iran?
Ni kweli hata hili hawalijui?
Ikiwa hawalijui, ni dhahiri walivishwa kwa nguvu na sio kifikra na khiyari ya kufahamu kwamba dini ime amrisha
Na ikiwa wanajua basi chuki si dhidi ya mauaji bali ni dhidi ya uislamu
Hili ni sawa na uvaaji wa hijabu shuleni Tanzania.
mabinti wanavaa vitambaavya kichwani kwa muda wa miaka 7 mpaka 13 akitoka shule tu au kwenda chuo kikuu mitaani hijabu hazionekani na vyuoni zinapotea au kupungua licha ya kwamba ni hijabu ambazo hazijakidhi vigezo
Na hali hii ipo mpaka kwenye shule zinazojiita za kiislamu.
watoto wanavaa hijabu kama amri za kishule na uniform tu na shule hizi zimemeshindwa kuwavisha watoto Hawa hijabu kama dini na anri ya Allah
na ndio sababu hatuoni athari ya shule hizi katika hijabu mitaani si kwambii madili mengine
5 MASHEIKH
ilitarajiwa wale masheikh wakuhimiza ndevu na kupinga khitma na maulidi,au wale wa kupenda maulid vipenzi vya mtume(عشاق النبي) au wale wenye kujiliza kwa mapenzi ya nyumba ya mtume, na wale wenye kutoa nasaha laini laini za kutamanishana pepo kwa mambo madogo madogo tungewaona wakitoa kauli zao na misimamo yao kama waislamu na wakitupilia mbali misimamo ya madhihab zao
Ajabu wapo kimya cha mfu juu ya haya
Na walio zungumza walizungumza kwa taasubi zao za kimadhihab tu na si msimamo safi wa kiislamu kwa kuangazia pande zote kwa upana
By Sheikh Ramadhani Moshi