johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,957
- 141,944
Eid Mubarak wana Chadema wote na wana Lumumba na wananchi wengine wote kwa ujumla.
Nawatakia sikukuu yenye furaha bila kusahau kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.
Siasa siyo Uadui
Maendeleo hayana vyama!
============
Assalama Alaikum
Ofisi ya Mufti wa Z'bar inatangaza rasmin kuwa leo Jumamosi MWEZI UMEANDAMA. Mwezi umeonekana LAMU Matondooni na Singida manyoni, hivyo basi insha'Allah kesho tunaamkia mwezi mosi Shawwal.
Ofisi unawashukuru wote walioshiriki ktk kuleta taarifa hizi.
(Nadir M. Mahfoudh)
(Mjumbe)