Utakuta muislam licha ya mvua kubwa kunyesha lkn utamkuta anaenda uwanjani kushabikia Simba ay Yanga ikicheza.
Matokeo yake pesa zake zinapotea, anapata homa kutokana na mvua na pengine hio timu yake inafungwa.
Kinyume chake kukaa dakika 5 kusikiliza mawaidha, kuingia msikitini kuswali hawafanyi. Anasa imekua mbele kuliko mambo ya maana.
Hata Dube akishinda utadhani milion za wadhamini utazipata?
Tuzinduke.