Waislam tumelogwa na nani?

Waislam tumelogwa na nani?

waislamu ni dini ya maelite kukandamiza wachini kwa kuwadanganya na mambo kama hayo ya mpira au sijui kukariri Kurani wakati wao (maelite) na familia zao hawafanyi hivyo, kuna sababu kwa nini waislamu masikini na wa chini Dunia nzima hukimbilia Christian western countries, kwa sababu huko wanathaminiwa hata kama ni wa daraja la chini, bado kuishi decent life na familia zao, kwa hiyo kukujibu swali lako na waislamu wake wanauislamu chini kwa kuwandangaya na mambo mpira au kufuturisha watoto yatima mara moja kwa kupiga picha kusambaza kila mahali lkn hao watoto yatima wataishije baada ya hiyo futari kuyuka tumboni muislamu elite hajali cha muhimu sana kwenye picha na watoto yatima, au maelite kula keki kwenye tv kwenye jamii ambayo tu ukifungua mlango watoto wanapekua jalalani kwenye kitoweo, kuanzishwa kwa umma. yetu…
HAPA NDUGU YANGU UMEPUYANGA, AFRIKA WANAO HANGAIKA NA KUKANDAMIZWA NI MASKINI NA WENYE SHIDA, NI KWA SABABU HAWAJUI PA KUSHIKA.
.MASKINI NA WENYE SHIDA KWA MWAKA ANAWEZA KUBADILI IMANI HATA MARA TANO, ANABADILI WAGANGA HATA MARA 10.
.MASKINI NDIYO WANAONGOZA KUTAPELIWA NA KUIBIWA KWA KUAMINI KWAO KUWA, HUYU ATAMALIZA SHIDA ZANGU.
.MASKINI NDIYO WANAIIBIWA SANA MAKANISANI, WENGI HAWATOI KWA AJILI YA MUNGU BALI WANATOA ILI SHIDA ZINAZOWAANDAMA ZITOKE LAKINI WAPI.
.MFANO TUNAONA MAKANISA FULANI, LIKIWEMO LA YULE MKONGO ALIETIMULIWA NCHINI, PALE WENGI WALIOTEPELIWA HOI HAHE.
 
Kuleni nguruwe itawasaidia sana kwenye kujitambua
Kula nguruwe alafu ujitambue? Wakati nguruwe mwenyewe hajitambi tofauti na wanyama wote.
.Nguruwe anakula kila kitu hata nguruwe mwenzie.
.Hata maandiko yenu, yanamtambua nguruwe kama jalala tu, ndiyo maana Yesu aliamlisha Mapepo yamuingie Nguruwe.
.Mnakula nguruwe sababu ya Ukaidi tu
 
Utakuta muislam licha ya mvua kubwa kunyesha lkn utamkuta anaenda uwanjani kushabikia Simba ay Yanga ikicheza.

Matokeo yake pesa zake zinapotea, anapata homa kutokana na mvua na pengine hio timu yake inafungwa.

Kinyume chake kukaa dakika 5 kusikiliza mawaidha, kuingia msikitini kuswali hawafanyi. Anasa imekua mbele kuliko mambo ya maana.

Hata Dube akishinda utadhani milion za wadhamini utazipata?
Tuzinduke.

Nani anayeloga zaidi kati ya Simba na Yanga? 😂 😂 😂 😂 😂
 
Utakuta muislam licha ya mvua kubwa kunyesha lkn utamkuta anaenda uwanjani kushabikia Simba ay Yanga ikicheza.

Matokeo yake pesa zake zinapotea, anapata homa kutokana na mvua na pengine hio timu yake inafungwa.

Kinyume chake kukaa dakika 5 kusikiliza mawaidha, kuingia msikitini kuswali hawafanyi. Anasa imekua mbele kuliko mambo ya maana.

Hata Dube akishinda utadhani milion za wadhamini utazipata?
Tuzinduke.
Hao waliowaleteeni hiyo Dini wanamlipa kafiri Christiano Ronaldo mamilioni huku wakivaa kabisa na jezi yake yenye jina Cristiano " mkristo" huku wakikatiza kwenye viunga vya makka na madina

Wameshaona hiyo dini ni ujinga tuu
 
Utakuta muislam licha ya mvua kubwa kunyesha lkn utamkuta anaenda uwanjani kushabikia Simba ay Yanga ikicheza.

Matokeo yake pesa zake zinapotea, anapata homa kutokana na mvua na pengine hio timu yake inafungwa.

Kinyume chake kukaa dakika 5 kusikiliza mawaidha, kuingia msikitini kuswali hawafanyi. Anasa imekua mbele kuliko mambo ya maana.

Hata Dube akishinda utadhani milion za wadhamini utazipata?
Tuzinduke.
Wachawi wenu wakuu ni Bakwata na ccm! Hakuna wachawi wengine zaidi ya hao wawili.
 
HAPA NDUGU YANGU UMEPUYANGA, AFRIKA WANAO HANGAIKA NA KUKANDAMIZWA NI MASKINI NA WENYE SHIDA, NI KWA SABABU HAWAJUI PA KUSHIKA.
.MASKINI NA WENYE SHIDA KWA MWAKA ANAWEZA KUBADILI IMANI HATA MARA TANO, ANABADILI WAGANGA HATA MARA 10.
.MASKINI NDIYO WANAONGOZA KUTAPELIWA NA KUIBIWA KWA KUAMINI KWAO KUWA, HUYU ATAMALIZA SHIDA ZANGU.
.MASKINI NDIYO WANAIIBIWA SANA MAKANISANI, WENGI HAWATOI KWA AJILI YA MUNGU BALI WANATOA ILI SHIDA ZINAZOWAANDAMA ZITOKE LAKINI WAPI.
.MFANO TUNAONA MAKANISA FULANI, LIKIWEMO LA YULE MKONGO ALIETIMULIWA NCHINI, PALE WENGI WALIOTEPELIWA HOI HAHE.

ulishawahi kuona raisi Mkristo akila keki kwenye tv huku watoto yatima wakiokota chakula jalalani?
 
Wenye hii dini wanapenda sana kulalamika...kila kitu kwao ni kujiliza liza tu...sipati picha kama jana ndo ingekuwa iddi afu serikali isiweke mshahara...kweny mitandao huko kungekuwa na matapishi ya kila aina
 
ulishawahi kuona rais Mkristo akila keki kwenye tv huku watoto yatima wakiokota chakula jalalani?
Asile keki kwenye TV au ailie chumba chakula bado itakua ana kula keki tu na watoto yatima wataendelea kula nyalala, maana hata akilia gizani hakuwasaidii watoto yatima.
 
lkn inasema mengi kuhusu character ya binadamu …
 
HIYO NI KWA IMANI YAKO, MAANDIKO SITO UTEKELEZAJI, NDIYO MAANA OMBA OMBA, NI NGUMU KUWAKUTA WA NJE YA MAKANISA, WAKINGOJA WAKRISTU WATOKE KANISANI WAWAPE MSAADA, ILA MISIKITUNI UTAWAKUTA.

HATA VITUO VUNGI VYA KULELEA YATIMA VINASIMAMIWA NA WAISLAM.
MKRITU HELA YAKE BORA AMPE MCHUNGAJI ILA SIYO MWENYE UHITAJI.
 
nitajie mifano ya vituo vya yatima vinavyoongozwa na waislamu na vinahudumia wote wenye dini na wasio na dini, au hospitali ya kiislamu iliyoko kijijini huko porini ikihudumia watu, nitajie moja …
 
hebu changanya akili kidogo hata nikikutajia hospitali iliyopo kijijini wewe utahakikishaje, unapota polini ni kama wapi.
 
Back
Top Bottom