waislamu ni dini ya maelite kukandamiza wachini kwa kuwadanganya na mambo kama hayo ya mpira au sijui kukariri Kurani wakati wao (maelite) na familia zao hawafanyi hivyo, kuna sababu kwa nini waislamu masikini na wa chini Dunia nzima hukimbilia Christian western countries, kwa sababu huko wanathaminiwa hata kama ni wa daraja la chini, bado wanaweza kuishi decent life na familia zao, kwa hiyo kukujibu swali lako waislamu hawajalogwa bali ndiyo uislamu wenyewe huo na falsafa yake, wajuu wanakanyaga wa chini kwa kuwadandangaya na mambo mpira au kufuturisha watoto yatima mara moja kwa mwaka na kupiga picha kusambaza kila mahali lkn hao watoto yatima wataishije baada ya hiyo futari kuyeyuka tumboni muislamu elite hajali cha muhimu kaonekana kwenye kamera na watoto yatima, au maelite kula keki kwenye tv kwenye jamii ambayo nje tu ukifungua mlango watoto wanapekuwa jalalani kutafuta kitoweo, lkn maelite wanakata keki kwenye tv, haijawahi kutokea tangia kuanzishwa kwa republic yetu …