Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 609
- 1,009
Kama tutaitafuta jamii iliyoonewa/inayoonewa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, (Zaidi Tanganyika) basi ni Waislamu. Waonevu ni Serikali ya CCM. Ajabu ccm wanapofanya madudu yao huwatumia Waislamu kutaka kujitakatisha kwa uchafu wao. Ajabu zaidi Waislamu bado hawajakitegua kitendawili hichi. Wakirsto hupewa misamaha ya KODI kwa mabilioni Waislamu huhitaji msamaha wa KODI kwa makontena ya tende. Kama kuna ziada ni michango ya Maulidi na mahudhurio ya viongozi wa Serikali kwenye sherehe hizo.
Halafu bado tunawalaumu wengine kwa makosa yetu wenyewe. Kama hujafahamu ujumbe huu rudia kuusoma tena na tena ukishindwa omba msaada kwa jirani.
“Ikiwa hujui unasumbuliwa na nini hata Qur-an haitokutibu”