Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,378
Nafikiri nyinyi walevi coz uislam unakataza tiba yoyote inayomtoa m2 ktk uislam kwa mfano uimbe yesu mungu ili upone au ndo kweli wakristo wandawazimu coz munakula nguruwe ambao ISSA{A.S}yesu alimtoa mtu kichaa akawapa nguruwe au amujui hilo nakuhusu sheikh yahya anachofanya kinapingana na uislam 100% ndo maana tunataka mahkama ya KADHI iwashughulike wa2 wa aina yahya lkn nyinyi mnapinga inatupa wasiwasi wengi wa wateja wa yahya ni wakristo ndo maana hawataki mahkama ya kadhi itamuondoa mshirikina mwenzao ictoshe km huyo babu kaoteshwa na mungu ni uongo na usanii coz kunawa2 wanatibu mafigo moyo bt hawajasema kama wameoteshwa
jesuit umenena kwelitupu,hapa sio udini ila jee? Ninani aliekuwa na ukimwi na akathibitishwa na akaenda kwa babu akapewa dawa na akapimwa na akapona?kwahakika hakuna hata 1,ila ni uvumi tu,kunamtu ameenda tena niwamwanzomwanzo akapata dawa yasukariya babu akanywa akapata nafuu aliporudi home akaacha kutumia dawazake zahosptl baada yawiki 1 akawa hoi kitandani,akapelekwa hosptl dokta akafokasana akasema usiache kutumia dawa za hostl utakufa bure.Wakati wa DECI mlikusanyana pale Sabasaba Kilwa Road mkasema maneno haya haya. Oooh Yesu anagawa utajiri, kwa Mungu yanawezekana! mwisho ukweli ukajulikana kuwa ilikuwa ni SCAM! Nashangaa wale maaskofu walioshadidia hili hawakuwaomba radhi!
Leo unakuja ushetani mwingine watu mnaleta stori zilezile! Soon ukweli utajulikana msije mkabadilisha kauli hapa!
La msingi, nani aliyepimwa na kuthibitika ana HIV antumia ARV akaenda huko kwa babu akapona? Apimwe tuthibitishe kuwa kapona! Msitulee stori za imani imani hapa!
Jana kulikuwa na mjadala na kuwataka waislam kuacha kwenda liliondo. walisema hio ni dawa ya kiini macho. walisema kama kuna mtu amepowa kwa dawa hiyo ajitokeze waziwazi kabla ya kupoa akiuumwa nini na sasa apime aonyeshe kwamba kama kweli amepoa.
waliwataka waislam kuachana na kabisa dawa hiyo wanayoita ni DECI
Babu wa Loliondo=Sheikh Yahaya=Washirikina wote. Hakuna Muislamu timamu akaenda kwa Sheikh Yahaya au babu Loliondo! Utukufu hauji kwa washirikina km babu wa Loliondo. Nataka wewe badae uwe shahidi msikimbie humu wkt atakuja kujulikana babu msanii km walivyo wasanii wanaodai vipofu na vilema wanawaponya wkt wao sio mitume ya Mungu. Ukisoma vzr utaenjoy sana dunia hii manake wasanii kibaoo. Nakushauri usiangalie sijui sheikh yahaya wala sijui babu loliondo we check maandiko hamna atakaekupotosha. Vinginevyo utafata mkumbo mpk siku ya mwisho wakati uwezo wa kujua ukweli unao!tatizo ndugu zetu mmezoea kuongozwa na majini ya sheikh yahya badiliken utukufu ndo huu.
Jana kulikuwa na mjadala na kuwataka waislam kuacha kwenda liliondo. walisema hio ni dawa ya kiini macho. walisema kama kuna mtu amepowa kwa dawa hiyo ajitokeze waziwazi kabla ya kupoa akiuumwa nini na sasa apime aonyeshe kwamba kama kweli amepoa.
waliwataka waislam kuachana na kabisa dawa hiyo wanayoita ni DECI
kwahakika wewe una upeo mkubwa na umempa ushaur mzuri sana,akitaka aufate na asipotaka aendelee na pumba zakeBabu wa Loliondo=Sheikh Yahaya=Washirikina wote. Hakuna Muislamu timamu akaenda kwa Sheikh Yahaya au babu Loliondo! Utukufu hauji kwa washirikina km babu wa Loliondo. Nataka wewe badae uwe shahidi msikimbie humu wkt atakuja kujulikana babu msanii km walivyo wasanii wanaodai vipofu na vilema wanawaponya wkt wao sio mitume ya Mungu. Ukisoma vzr utaenjoy sana dunia hii manake wasanii kibaoo. Nakushauri usiangalie sijui sheikh yahaya wala sijui babu loliondo we check maandiko hamna atakaekupotosha. Vinginevyo utafata mkumbo mpk siku ya mwisho wakati uwezo wa kujua ukweli unao!
Babu wa Loliondo=Sheikh Yahaya=Washirikina wote. Hakuna Muislamu timamu akaenda kwa Sheikh Yahaya au babu Loliondo! Utukufu hauji kwa washirikina km babu wa Loliondo. Nataka wewe badae uwe shahidi msikimbie humu wkt atakuja kujulikana babu msanii km walivyo wasanii wanaodai vipofu na vilema wanawaponya wkt wao sio mitume ya Mungu. Ukisoma vzr utaenjoy sana dunia hii manake wasanii kibaoo. Nakushauri usiangalie sijui sheikh yahaya wala sijui babu loliondo we check maandiko hamna atakaekupotosha. Vinginevyo utafata mkumbo mpk siku ya mwisho wakati uwezo wa kujua ukweli unao!
Unaposema waislamu wanahubiri chuki sijui unayo mifano? Tofautisha kati ya ukweli/haki na chuki. Kwa kukusaidia jina la dini yetu tu ni Amani,je inawezekana kuikana amani tena? Usiwe mfata mkumbo au umeathirika na propaganda za western. Wapi uislamu umehubiri fujo kny Msahafu? Usikariri vibaya soma utaona beauty of Islam.Pole sana ndugu maana dhania yako imepotoka.
Hao walioenda basi ni wanafki kama alivyodai mwingine kwenye thread moja ya kusisimua sana! Jiulizeni kama kweli wengi wenu mnaijua vilivyo imani yenu.Mngeijua basi mngehubiri upendo na amani zaidi kuliko chuki na uongo!
kwahakika wewe una upeo mkubwa na umempa ushaur mzuri sana,akitaka aufate na asipotaka aendelee na pumba zake
Unaposema waislamu wanahubiri chuki sijui unayo mifano? Tofautisha kati ya ukweli/haki na chuki. Kwa kukusaidia jina la dini yetu tu ni Amani,je inawezekana kuikana amani tena? Usiwe mfata mkumbo au umeathirika na propaganda za western. Wapi uislamu umehubiri fujo kny Msahafu? Usikariri vibaya soma utaona beauty of Islam.
Uislamu ndo dini pekee inayohimiza mema na kukataza mabaya.
Kutetereka au kutotetereka CV ya babu ni immaterial mi nachojaribu kukusaidia wewe pamoja na watnz wengine anayofanya babu,manyaunyau,sijui nani wote washirikina. Unaposema sijui nani kaenda nae kiislamu ata awe maarufu dunia nzima akienda kwa babu mshirikina pia nae. Nikukumbushe abt DECI tulipiga kelele tukaambiwa tuna wivu badae ukweli ukajitokeza,the same to Loliondo. Punguzeni ushabiki na kuamini kila analosema kiongozi wenu wa dini msome maandiko wandungu. Maandiko ndo muongozo wa dini sio maneno ya kiongozi unaamini utafikiria mtume wa mungu wkt hata wewe unaweza kuwa km yeye(kiongozi wa dini). Go and read books!Mbona cv ya babu haijatetereka mpaka sasa wandugu? JK mwenyewe nasikia alienda kujisalimisha kwa babu?
Duh kazi ipo apa ila ndo kazi yangu kuelimisha umma ili kutoa ujumbe abt Islam. Hayo yote yanayozungumzwa ni propaganda against Islam na kiongozi wao U.S. Nani anao ushahidi kuwa Uislamu ndo umepanga matukio uliotaja wewe likiwemo la Sept11,2001?? U need to be aware na western Media pamoja na propaganda zao. Media inayo uwezo wa kusema lolote baya na wenye akili fupi wakaamini bila kufanya research. Turudi kny mada madai yako sasa, Nini maana ya Terrorism/terrorist? Jibu utapata anayeuwa kuanzia watu 2 innocent na kuendelea tutamuita Terrorist. Kama leo utaulizwa nani Gaidi wa 1 dunian jibu ni George Bush na majeshi ya U.S ingeneral. Kauwa watu innocent Afghan,Iraq etc. Huku akisingizia anapambana na ugaidi+silaha za maangamizi Iraq(hamna ata silaha moja mpk leo) na Tony Blair yuko kikaangoni U.K kwa kuingia mkenge wa vita visivyo na sababu. Shame on U.S kwa mauaji. Kny tukio la Sept11 kwa yeyote aliyehusika UISLAM hauruhusu mauaji ya innocent popote pale kny ardhi hii. Qur- an imekataza kuuwa asiye na hatia,kufanya hivyo ni sawa umeuwa dunia nzima. Swali je Bush na washirika wake wameuwa watu wasio na hatia wangapi mpk sasa?? Uislamu hautetei mauaji ya aina yeyote kwa wasio na hatia. Naomba uelewe hivyo ndugu. Nakushauri usiwe mtu wa kuamini sana western media hutapata ukweli hata siku moja. Nakupa mfano mdogo tu,unapoangalia CNN au BBC wakionyesha Africa/TNz utaona sehem chafu chafu au kijijin na hautaona sehem zenye mandhari mazuri. Na hii inatoa taswira kwa watu wao kuwa africa ni sehem ya mabalah tu jambo ambalo si kweli. Hizo ndo western Media.Uislamu unahubiri amani maeneo gani wandugu, Somalia, Iraqi, Pakistan, Palestina au wapi? Na hiyo amani wanaihubiri kwa vikundi vijulikanavyo kama Islamic Jihad, Al Shabaab, Al Qaeda, Boko Haram, nk. Na misahafu wanayoitumia ni mabomu ya kujifunga kiunoni! Matokeo ya mahubiri ni Sept 11, 2001, ulipuaji wa balozi za Marekani nchini Kenya na Tz, London bombing and above all, TERRORISM!
Duh kazi ipo apa ila ndo kazi yangu kuelimisha umma ili kutoa ujumbe abt Islam. Hayo yote yanayozungumzwa ni propaganda against Islam na kiongozi wao U.S. Nani anao ushahidi kuwa Uislamu ndo umepanga matukio uliotaja wewe likiwemo la Sept11,2001?? U need to be aware na western Media pamoja na propaganda zao. Media inayo uwezo wa kusema lolote baya na wenye akili fupi wakaamini bila kufanya research. Turudi kny mada madai yako sasa, Nini maana ya Terrorism/terrorist? Jibu utapata anayeuwa kuanzia watu 2 innocent na kuendelea tutamuita Terrorist. Kama leo utaulizwa nani Gaidi wa 1 dunian jibu ni George Bush na majeshi ya U.S ingeneral. Kauwa watu innocent Afghan,Iraq etc. Huku akisingizia anapambana na ugaidi+silaha za maangamizi Iraq(hamna ata silaha moja mpk leo) na Tony Blair yuko kikaangoni U.K kwa kuingia mkenge wa vita visivyo na sababu. Shame on U.S kwa mauaji. Kny tukio la Sept11 kwa yeyote aliyehusika UISLAM hauruhusu mauaji ya innocent popote pale kny ardhi hii. Qur- an imekataza kuuwa asiye na hatia,kufanya hivyo ni sawa umeuwa dunia nzima. Swali je Bush na washirika wake wameuwa watu wasio na hatia wangapi mpk sasa?? Uislamu hautetei mauaji ya aina yeyote kwa wasio na hatia. Naomba uelewe hivyo ndugu. Nakushauri usiwe mtu wa kuamini sana western media hutapata ukweli hata siku moja. Nakupa mfano mdogo tu,unapoangalia CNN au BBC wakionyesha Africa/TNz utaona sehem chafu chafu au kijijin na hautaona sehem zenye mandhari mazuri. Na hii inatoa taswira kwa watu wao kuwa africa ni sehem ya mabalah tu jambo ambalo si kweli. Hizo ndo western Media.
So inapotokea mtu mwenye jina la kiislamu akafanya ovu utaona Heading kuubwa Muslims are..... Kosa la mtu mmoja tu. Nakuuliza swali dogo tu, Adolf HITLER(mkristo) aliuwa Mayahudi 6,000,000 je wakristo wote wauwaji(magaidi)??? Kisa mkristo mmoja(Hitler) kateleza? Kaa chini then utafakari ukiwa muungwana utapata majibu sahihi na hizi propaganda.
A

Nakubaliana nawe kwani hata Kakobe (mkristo) alisema maneno karibu hayo ya Waislamu. Halafu Askofu Laizer aliikataza Serikali kuingilia kati kwa vile utibabu huo ni wa imani (kikristo) Jee hawa unawaeleza nini hata ulaumu Waislamu wanaotowa kauli baadae? Hivyo huoni kuwa kuna ukweli wa wanachokisema ? Kwani hao waislamu kwenu wana dini? hivyo kwanini watibiwe wanaofata ushetani (waislamu)?ina maana kama watu hawaponi kwa nini wanaendelea kuongezeka kule loliondo?naona hapa mmebase kidini zaidi , but wewe .. Babu hajaweka matangazo wala hajaita mtu kwenda kwake