nimekuchukia hata jina unalotumia halikufai manake haliendani na matendo yako.Imnai haipimwi hospitali,wacha wanaoamini waende na ww pia kapime kisukari nk.Wakati wa DECI mlikusanyana pale Sabasaba Kilwa Road mkasema maneno haya haya. Oooh Yesu anagawa utajiri, kwa Mungu yanawezekana! mwisho ukweli ukajulikana kuwa ilikuwa ni SCAM! Nashangaa wale maaskofu walioshadidia hili hawakuwaomba radhi!
Leo unakuja ushetani mwingine watu mnaleta stori zilezile! Soon ukweli utajulikana msije mkabadilisha kauli hapa!
La msingi, nani aliyepimwa na kuthibitika ana HIV antumia ARV akaenda huko kwa babu akapona? Apimwe tuthibitishe kuwa kapona! Msitulee stori za imani imani hapa!
Hizi dini tulizorithi au kupokea zinatupeleka pabaya sasa!
Watu wanajitafutia tiba mbadala, wengine wako busy na vipaaza sauti wakiwakataza! tuone itakavyokuwa.
HUU UDINI UNATUFUNDISHA NINI HAPA TANZANIA?
Jana kulikuwa na mjadala na kuwataka waislam kuacha kwenda liliondo. walisema hio ni dawa ya kiini macho. walisema kama kuna mtu amepowa kwa dawa hiyo ajitokeze waziwazi kabla ya kupoa akiuumwa nini na sasa apime aonyeshe kwamba kama kweli amepoa.
waliwataka waislam kuachana na kabisa dawa hiyo wanayoita ni DECI
Kula kiboga na kunywa dawa ipi ni dhambi kubwa? hawa jamaa wanaongoza kwa kula viboga wenzao ila hilo hawaoni km ni dhambi.
Sasa babu hajawaita watu, kila mtu anajiendea kwa shida zake wasituletee uzandiki wao hapa kwanza hizo ni moja ya zile redio mbao.
hawajui km kiranja wao alishatinga kwa babu na sasa yuko fit wakamuulize yeye kwanza kabla ya kutangaza upuuzi km huo.
Nafikiri nyinyi walevi coz uislam unakataza tiba yoyote inayomtoa m2 ktk uislam kwa mfano uimbe yesu mungu ili upone au ndo kweli wakristo wandawazimu coz munakula nguruwe ambao ISSA{A.S}yesu alimtoa mtu kichaa akawapa nguruwe au amujui hilo nakuhusu sheikh yahya anachofanya kinapingana na uislam 100% ndo maana tunataka mahkama ya KADHI iwashughulike wa2 wa aina yahya lkn nyinyi mnapinga inatupa wasiwasi wengi wa wateja wa yahya ni wakristo ndo maana hawataki mahkama ya kadhi itamuondoa mshirikina mwenzao ictoshe km huyo babu kaoteshwa na mungu ni uongo na usanii coz kunawa2 wanatibu mafigo moyo bt hawajasema kama wameoteshwa
Wakati wa DECI mlikusanyana pale Sabasaba Kilwa Road mkasema maneno haya haya. Oooh Yesu anagawa utajiri, kwa Mungu yanawezekana! mwisho ukweli ukajulikana kuwa ilikuwa ni SCAM! Nashangaa wale maaskofu walioshadidia hili hawakuwaomba radhi!
Leo unakuja ushetani mwingine watu mnaleta stori zilezile! Soon ukweli utajulikana msije mkabadilisha kauli hapa!
La msingi, nani aliyepimwa na kuthibitika ana HIV antumia ARV akaenda huko kwa babu akapona? Apimwe tuthibitishe kuwa kapona! Msitulee stori za imani imani hapa!
Nafikiri nyinyi walevi coz uislam unakataza tiba yoyote inayomtoa m2 ktk uislam kwa mfano uimbe yesu mungu ili upone au ndo kweli wakristo wandawazimu coz munakula nguruwe ambao ISSA{A.S}yesu alimtoa mtu kichaa akawapa nguruwe au amujui hilo nakuhusu sheikh yahya anachofanya kinapingana na uislam 100% ndo maana tunataka mahkama ya KADHI iwashughulike wa2 wa aina yahya lkn nyinyi mnapinga inatupa wasiwasi wengi wa wateja wa yahya ni wakristo ndo maana hawataki mahkama ya kadhi itamuondoa mshirikina mwenzao ictoshe km huyo babu kaoteshwa na mungu ni uongo na usanii coz kunawa2 wanatibu mafigo moyo bt hawajasema kama wameoteshwa
Kwa sababu wateja wake wengi ni wakristo.mbona hata siku moja wakristo hawajawahi kutumia vyombo vyao vya habari kuwakataza wakristo wasiende pale Mwembechai kwa sheikh yahya?