Waislam Kigoma wacharuka, hawamtaki RC

Mdadisi

Member
Aug 1, 2007
55
2
Mchana huu waislam wa Kigoma wametoa tamko kali kuhusu dhulma walizofanyiwa na wanaouita "mfumo Kristo". wamemlaani Nyerere na wote wanaoendeleza dhulma. Nimeambiwa redio Imaan ilirusha matangazo laivu wakimtaka Rais Jk awafukuze kazi Mkuu wa mkoa, ma dc wa wilaya zote za kigoma. kwa wale waliolipata kwa ukamilifu tafadhali tumwagieni data
 
kumekucha!! Inferiority complex is still hunting these guys, they blame RC, they defend JK who appointed RC!!! what a joke!
 
ngoja tusubili kwa wadau,kwani mpaka unaileta hapa wewe umeipata wapi? na aliyekupa hajadokeza zaidi ya hayo? nadhani wewe ndie ungetupa habari kakili mkuuuu

msema ukweliii hapendwiii daimaaaaa:clap2:
 
Waberoya, The same way Tanzanians blame the government in power. is that what you want to say!?
 
harafu waislamu walioishia na elimu ya madrasa wasumbufu saana. hivi mmeshawahi kusikia wasomi wa dini ya kiislamu wakitoa matamko kinzani? hapo wa kutoka ni JK na sio RC na nyinyi si mlishasema kuwa msiingilie siasa muache viongozi wafanye kazi? sasa hapo mnafanya nini? Mnadhihirisha shule yenu kuwa ndogo na JK wenu
 
Kama hii ni kweli its about time what waanze kutupwa ndani, kabla hii cancer haijatapakaa, watu tunagombana na utendaji mbovu na ufisadi wengine wanaangelia ni wapi na lini tunakwenda kuabudu ijumaa au jumapili
 
tena kama coincidence 'waislam hawa wa madrasa' wanadai juhudi zao ndo zilimng'oa mkoloni na elimu hiyo pungufu ndio iliomsaidia Nyerere kukubali ushauri wao na kuanza kuvaa suruali. yote yanayowakuta ni mfumo kristo. sasa wanataka ukombozi kwa mara ya pili!!!
 
Baada ya mkakati wa ukabila kushindwa, sasa mafisadi wamekuja na huu wa udini ambao nao pasipo shaka yoyote utashindwa.Haya matamko yanayotolewa yanaandaliwa na kikundi fulani, wanatafutwa wenye njaa zao wanaoonekana kuwa na ushawishi kwenye jamii yao na kupewa kuyasoma baada ya kukatiwa pesa.
 
hawa nao kwa matamko hawajambo.........wameambiwa na mufti wao kuwa wahangaikie elimu na sio kulalamika
 
Hawa jamaa wanaruka mkojo wanakanyaga kinyesi. Kwa hiyo sasa wanasema viongozi wote wakikristo watoke kwani hii ni nchi ya kiislam. Hawana jipya. Ngoja tusubili sis yetu macho na hayo matamko yao watafikia wapi! Nawaomba viöngozi wa kikristo wasijibizane na hao wapumbavu wasio na akili.
 
kumekucha!! Inferiority complex is still hunting these guys, they blame RC, they defend JK who appointed RC!!! what a joke!
Kweli elimu ni jambo la msingi kuliko yote.... kama unamsimu anayewakilishwa na humtaki aliyemtuua kumuwakilisha..... nadhani uelewa wako utakuwa na tatizo au ni wa chini sana!!! Jamani rudini shuleeeee!!!!!
 
This is very wonderful! Nashauri serikali ianzishe kampeni maalumu ya kuwapa elimu waislamu ili aibu hii iishe kwa tz.
 
hawa jamaa wanataka kuzidi, hii nchi ni kwa ajili ya watanzania wote sio nchi ya kiislamu wanaposema mfumo kristo siwaelewi hata kidogo, kwa mtindo huo matatizo yanayowakabili watanzania wanataka kusema ni sababu ya mfumo kristo? Waache utani, watu sio wavivu wa kufikiri kama wao.
 
Kama hii ni kweli its about time what waanze kutupwa ndani, kabla hii cancer haijatapakaa, watu tunagombana na utendaji mbovu na ufisadi wengine wanaangelia ni wapi na lini tunakwenda kuabudu ijumaa au jumapili
unaelewa aliyeanzisha 'deal' la udini au anaandika tu! udini ni dili la ccm kumsaidia jk kwenye uchaguzi wa october,ila wamemwaga mtama kwenye kuku wengi,moslems are frigile and sensitive kwenye issues za uchochezi. kwahiyo alieanzisha ni jk na watu wake they are now guility conscious...let the fire blast
 
Back
Top Bottom