real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Wafuasi wa chama kinachopinga wahamiaji Ujerumani (Afd) wameiunga mkono ilani ya chama chao inayosema Uisilamu hauendani na utamaduni wala katiba ya Ujerumani, na wanataka misikiti na mavazi ya waumini wa kiislamu kama hijabu za kufunika uso kupigwa marufuku
Chama hicho kilichoanzishwa miaka mitatu iliyopita kimekuwa haraka kutokana na janga la wahamiaji zaidi ya milioni ambao wengi wao ni waisilamu wakiwasili ujerumani mwaka uliopita
Ujerumani ina waisilamu wapatao milioni nne ambao ni asilimia 5 ya watu wote ujerumani, wengi wao ni waliotoka Uturuki kutafuta kazi, lakini waliofika kuanzia mwaka jana ni waliokuwa wanakimbia mapigano kutoka nchi za Syria, Iraq na Afghanistan.
Chanzo: DW