Magoo, ukimya ni tabia zao, hivyo ndivyo walivyo, hawane neno kabisa hao, ni wewe tuu. Kabila hilo ni jamii za Wambulu, Warangi, Wahadzabe, Wataturu, Wabarbaig, Wanyaturu, Wabalungi na Wasandawe, yaani ni wa kimya na hawana maneno kwenye kila kitu.
Tatizo lao ni moja tuu, hawana roho mbaya, hivyo wengi huishia kuwa na huruma sana kufikia kiwango cha anapohitajika, hujinyamazia tuu ni wewe kushika mkono na kuendelea!