Nina g.f ambaye ni m2 wa Babati kabila la iraque ana muonekano mzuri sana ila huyu binti ni mkimya saaana na msiri sana sijui ni tabia zao plz kwa anaye fahamu tabia za asili za kabila hili anisaidie cz nampenda sana ila hili la ukimya lanipa wasiwasi coz nafahamu kuna tabia za asili za watu wa makabila mf wakurya-hasira, wachaga-wabahili, wasambaa-maneno mengi n.k... ila hawa wairaque msaada tafadhali
Nilikuwa na GF wa aina hiyo nikafanya uchunguzi nikagundua hawa ndugu ni maji mara moja wanapokutana na watu wa kwao. Kimila chao si vizuri kumnyima kaka wa nyumbani hiyo kitu.Nina g.f ambaye ni m2 wa Babati kabila la iraque ana muonekano mzuri sana ila huyu binti ni mkimya saaana na msiri sana sijui ni tabia zao plz kwa anaye fahamu tabia za asili za kabila hili anisaidie cz nampenda sana ila hili la ukimya lanipa wasiwasi coz nafahamu kuna tabia za asili za watu wa makabila mf wakurya-hasira, wachaga-wabahili, wasambaa-maneno mengi n.k... ila hawa wairaque msaada tafadhali
Na wewe una tabia gani ya asili???
Ukimya ni tabia ya mtu na sio tabia ya kundi la watu kwahiyo achana na ushamba wa kuendekeza mawazo mgando.
Pia inawezekana bado hajatokea kukuamini mpaka kufikia kufunguka kwako maana hata watu wakimya kupitiliza wapo watu wachache wanaoweza ongea nao kuliko unavyoweza kutegemea....au sio msikilizaji.
haya mkuu nimekusoma... ila tambua mazingira ya makuzi na genes characters zinainfluence kubwa ktk tabia za watu thats y i wanted to kno from those who are familiar 2this tribe kama ni tabia zao za asili ama ni individual character??? otherwise thanx
Sasa Wairaque wote wanakulia katika makuzi yanayofanana???
Genetics nazo ni za kabila????
Kama unataka kumjua huyo msichana mchunguze yeye kama yeye achana na hayo mengine...
...Mweeeeehwe we we weee....masahihisho........wapare-wabahili
huyu mjini kaenda xl tu kakulia sana BabatiKwanza nikusahishe rafiki sio wairaque ni wairaqw. wako poa tu, wapole, wavumilivu na wana upendo sana. Ila kaka wana hasira sana ukiwauzi, sasa rafiki kama utakuwa huna vitabia vibayavibaya vya vijana wa siku hizi utaweza ishi naye vizuri sana, na atakuwa msaada sana. Ila kama tabia zako ni za manati, akikasirika utajuta kwanini umemuoa. Lakini huyu ni kama kalowea umbuluni sana, achana na hawa ambao wamezaliwa na kuchakachulika mjini.
Lakini wale wa Karatu ni noma!!
heeeeeeeeeeeeeeeeNilikuwa na GF wa aina hiyo nikafanya uchunguzi nikagundua hawa ndugu ni maji mara moja wanapokutana na watu wa kwao. Kimila chao si vizuri kumnyima kaka wa nyumbani hiyo kitu.
Nina g.f ambaye ni m2 wa Babati kabila la iraque ana muonekano mzuri sana ila huyu binti ni mkimya saaana na msiri sana sijui ni tabia zao plz kwa anaye fahamu tabia za asili za kabila hili anisaidie cz nampenda sana ila hili la ukimya lanipa wasiwasi coz nafahamu kuna tabia za asili za watu wa makabila mf wakurya-hasira, wachaga-wabahili, wasambaa-maneno mengi n.k... ila hawa wairaque msaada tafadhali