Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,111
- 2,748
Aisee najuta kujiita mtanzania. Huyu kikwete aibu kweli, ona sasa !
Aisee najuta kujiita mtanzania. Huyu kikwete aibu kweli, ona sasa !
Aibu kubwa kwa Watanzania wote.Rais kutwa yupo angani akitafuta misaada wakati rasilimali zipo hatuzitumii!Only in Tanzania
Wakoloni hawa badala ya kujadili namna ya kutulipa fidia za ukoloni wanaleta upuuzi