thanx mkuu,natambua sana kuhusu hilo,nimeshaongea nae sana,what am looking for is the best way on how to handle this.have tried all ways possible known to me but have registered failures
she is very righttunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.
wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?
cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
mi naona amtafutie bwana wa kumkeep busy!
huyo anakupenda toka moyoni lakini kinacho mtesa ni wivu,zungumza nae taratibu kuhusu wivu wa kijinga....
utamfungiaje mume ndani kama mwali bwana? jamaa akiulizwa bei za viwanja mwaka huu hajui ila fungu la nyanya na iliki anajua...si upuuzi mtupu huuMeona eeh....huyu ni gubu tua hana lolote....gubu limepitiliza ..sie wengine madeal tunayapatia nje
Wewe tulia kama urivyo uchiteme wala uchitafune; yani wewe ni kipusa aisee mkeo anajua ukigegeda dem mwingine lazima adate na itakuwa majanga kwake hilo sasa ni peki lako beba na tulia nalo nenda naye kila mahali. Nini kuongozana naye mbona wakwangu nilikuwa naenda naye ofisini anakaa kwenye gari nje ya ofisi anasoma vitabu na magazeti. Hiyo ndiyo inaitwa mtu ku mtu hakuna kulala.tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.
wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?
cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
mkuu nishapiga stori na waifu sana,anakuelewa lakini ukitaka kuondoka anbadilika,sometimez anakuwa mnyonge hadi unamuonea huruma inabidi tu uhairishe safari zako.kuna wakati unalazimisha kwenda ndo hivyo tena.
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.
wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?
cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
Dah pole....aliekuwepo alikuwa hakabiki! alikuwa na maisha yake huwezi kumbadilisha kwa lolote akiamua leo ni mpira hata kama unaumwa kufa ataenda kwenye mpira!yaani alikuwa yeye kama yeye! sidhani kama nilikuwaga kichwani kwake kwa lolote! sasa mtu kama huyo utakaba nini.. mwishoni nikaona nitakuja kubabwa mie na pressur na kifo kakangu! si unajua maisha ni haya haya! kama mtu hakupendi utasubiri nini? utasubiria ndege bandarini kweli?
utamfungiaje mume ndani kama mwali bwana? jamaa akiulizwa bei za viwanja mwaka huu hajui ila fungu la nyanya na iliki anajua...si upuuzi mtupu huu
Kaka mkeo anakupenda sana na ana wivu sana na ndo tatizo lake na anaogopa pia huko nje unakoenda wezi wengi mtu chake lazima awe na waswas nenda naye kwenye mpira ipo cku ataboreka atakuachia,function za ofic ongea nae taratib kwa mapenz hp atakuelewa taratb taratb...we mke me mume lakn nampenda na namwelewa
Kwanini usiende naye?
Si bure umelishwa shurutama