waifu ananikaba...!!!!

Ongea nae tu mkuu atakuelewa au kuna vitu kaviona kwako siku hizi vikotofauti ndio maana anakua makini na mwenendo wako?
 
Sa hapa sio semehu ya kupata ushauri wa ndoa maana kuna watako leta utani na mizaha na kunawatakao kudharau kwanini usipeleke malalamiko yako kwa wazee au kwa wasimamizi wa ndoa yenu
 
Ongea nae tu mkuu atakuelewa au kuna vitu kaviona kwako siku hizi vikotofauti ndio maana anakua makini na mwenendo wako?

no mkuu,hakuna jipya but alipopata ujauzito wake wa kwanza tu,hapo ndo akaanza kunikaba mpawa wa leo
 
kwanini usiende nae kwenye hizo funksheni za kazini na pia kuangalia nae mpira...? hebu fanya hivyo! ila ujue ukishikwa shikamana....
nilitaka kumwambia hivyohivyo, bora waende wote huenda gubu litakwisha.
 
mkuu,,,umemzoesha ivo sasa unataka nin???
mwanamke una uwezo waku mshepu utakavyo kwasababu mda uo nae atakua anakushepu atakavyo..so swala la kusocialise uligundua hana tangu mwanzo lakini ukulikomalia kiupande wako,,ukaliendekeza cheki sasa///
..ushauri:: kama una roho ngumu na kichwa cha kutokuendeshwa uchukue.////kaa nae chini mwambie umechoka..na kuna mda unapenda kuwa na vi outing kama ivo..kama anapenda muende wote,,afu anza kuchukua hatua,,akilia kwani atakufa,,inaelekea hakuamini,,ni kazi kwako kumjengea imani,,unatoka na kufanya vyakiuaminifu ,,fullstop atazoea
 
alafu kama mwanaume inabidi utambue dili zoote zinatokana na kujichanganya na wadau wenzio mazingira tofauti,,kama bar mipirani makazini n.k,,
sasa kama unataka kukaa na mkeo ndani siku nzima mtumbuliane mimacho ova ndo mtatajirika haya,,,maisha ni kutafuta mkuu..

afu uyo mwanamke wako yaelekea hana mashost wakaribu ndo mana
 
Huyo ni mlinzi ajabu, yote naona sawa ila hilo la kazini simu mara tatu in 20min ni usumbufu sasa, story gani mnapiga siku nzima anataka muwasiliane... Yeye hata kama analinda basi ulindaji mwingine sio, labda kuna kitu unafanya ambacho kinamfanya asikuamini, em jichunguze kwanza, afu nenda mfanye akuamini sasa, na umwambie usumbufu huo apunguze, mwe mtwini kidisaini ataelewa tu,
 
muda mwingine wanaume tunakuaga na katabia ka kumpotezea mwanamke hasa pale unapogundua unapendwa sana. Bt akibadilika tabia utaanza kufura na mihasira ya kutosha. KAKA UKIPENDWA PENDEKA BASI....
 
atakaba mpaka pelnat huyo na itamcost coz ndoa ni imani so km humwamini mtu wako ni wazi kuwa kuna tatizo mahali, be careful all of you!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sa hapa sio semehu ya kupata ushauri wa ndoa maana kuna watako leta utani na mizaha na kunawatakao kudharau kwanini usipeleke malalamiko yako kwa wazee au kwa wasimamizi wa ndoa yenu

Thats true..matatizo ya ndoa ni ya wawili tu ukianza kuingiza mtu wa tatu ndio yanakuwa makubwaa..hicho ni kitu kidogo sana waongee tu wayamalize..kina sie tulitoka outing toka skul sasa hivi ata nikiagwa nasema poa..be gud ya huko anayajua mungu lakini atarudi tu..
 
kwanini usiende nae kwenye hizo funksheni za kazini na pia kuangalia nae mpira...? hebu fanya hivyo! ila ujue ukishikwa shikamana....

Tick Tick.......uko sahihi.
 
Mkuu mshukuru sana Mola kwa kukupa mwenza aneyekupenda na kutamani kuwa na wewe kila saa. Wengine tukirudi au tusiporudi home haina tofauti yoyote. Wewe mwenyewe ukichoka kukaa nje utarudi tu. Hutafutwi wala huulizwi.
 
Usikute anakupigia simu ili ajue upo kazini au la,ili aingize kiserengeti boy chake. Wanawake kwa ku act nawasalutia. Anajifanya kwamba usiende kwenye function zako,huku kisogoni anakubeza na kushukuru kwamba umeondoka aingize wanaume wa shoka. Mbwembwe zote hizo anazifanya ili ukielezwa mabaya yake usiamini kutokana na show love kwako. Stay away from them! Wanawake sio ndugu zako kama hao uliozaliwa nao. Ukifata maagizo yake utashinda na njaa kwa kutowajibika ofisini na kushindwa kuwajulia hali ndugu na jamaa kwa kukubana. Inamaana yeye hataenda kazini?
 
Mkuu mshukuru sana Mola kwa kukupa mwenza aneyekupenda na kutamani kuwa na wewe kila saa. Wengine tukirudi au tusiporudi home haina tofauti yoyote. Wewe mwenyewe ukichoka kukaa nje utarudi tu. Hutafutwi wala huulizwi.

dah,mkuu hiyo mbona balaa sasa?
 
Usikute anakupigia simu ili ajue upo kazini au la,ili aingize kiserengeti boy chake. Wanawake kwa ku act nawasalutia. Anajifanya kwamba usiende kwenye function zako,huku kisogoni anakubeza na kushukuru kwamba umeondoka aingize wanaume wa shoka.

mkuu mbona unataka kunipa pressure?
 
Mbona sijaona analokukaba nalo hapo? Kutaka muwe pamoja, kukupigia simu etc etc ndio kukabwa?...Broda utakuwa na mishemishe isiyo rasmi ndio maana unaona wakabwa.
Mpende na mfanyie kama anavyokufanyie halafu uone kama na wewe utakuwa unamkaba!! Au na yeye angekuwa anakwenda kwenye hayo ma-patiz au kwenda kuangalia mpira mwenyewe ingekaaje kwenye koo lako?

Wapendeni wake zenu zaidi ya wanavyowapenda niynyi...Tena mama watoto bana?....broda jitazame!
 
Mkuu mshukuru sana Mola kwa kukupa mwenza aneyekupenda na kutamani kuwa na wewe kila saa. Wengine tukirudi au tusiporudi home haina tofauti yoyote. Wewe mwenyewe ukichoka kukaa nje utarudi tu. Hutafutwi wala huulizwi.

Wala sio kwamba mkeo akupendi..hakuna kitu kinaudhi kama kudanganywa tatizo lenu ukimpigia mtu simu anasema unawivu sana.ukiulizwa uko wapi unarudi saa ngapi mnaona kama mnafatiliwa..ndio maana watu tunajinyamazia tu..end of day mnajishtukia kama hivyo maananatufanyaga walinzi wenu..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…