Waif ananilazimisha kutumia tigo

Waif ananilazimisha kutumia tigo

haiwezekan rafiki yako akuletee hii sory ya aibu namna hii
hapa nahisi utakuwa ww ndo una mke!!

Kama anataman kuliwa tigo, jua ishaliwa sana tu, we ndo unapewa makombo.

hapo ndoa inaelekea kuvunjika
 
Hilo ni janga, Kama imani yake hai ruhusu ufanyaji wa mapenzi ya kinyume na maumbile aithubutu kufanya ivyo, kwani ataitesa sana nafsi yake na kua chukizo pia kwa anae muamini.
 
Wana jf habari zenu hongereni kwa mwaka mpya 2013. leo kuna kitu nataka mnisaidie ni hivi Kuna rafiki yangu kaniambia eti mke wake anamlazimisha wafanye mapenzi kinyume na maumbile japo yeye mume hataki mke anaonyesha hasira na kumtishia kwamba atamshtaki kwa baba yake kuwa yeye ndio anamlazimisha afanye kinyume na maumbile maana yake ili waachane sasa jamaa yuko njia panda hajui afanyeje kwani yeye ni mtu wa dini sana. Akisema amle TIGO ni dhambi akimwacha anashtakiwa kwa wakwe sasa hajui afanyeje yuk
mpaka hapo kesha kula kwasababu aliambiwa atasemewa kwa wazazi na inaonyesha hajasemewa, inaonyesha anaipenda anatafuta justification tu, kama angekuwa hataki angeonyesha kwa vitendo yaani kuwa mkari na kukemea kwa nguvu zote
 
Hilo ni janga, Kama imani yake hai ruhusu ufanyaji wa mapenzi ya kinyume na maumbile aithubutu kufanya ivyo, kwani ataitesa sana nafsi yake na kua chukizo pia kwa anae muamini.

mkuu sijawahi sikia imani inayo ruhusu, hapo ni akili yake tu, na msimamo sio sitaki na taka
 
mkuu sijawahi sikia imani inayo ruhusu, hapo ni akili yake tu, na msimamo sio sitaki na taka

Mkuu, kuna imani zina ruhusu ufanyaji wa mapenzi ya Kinyume na maumbile pia hata mapenzi ya jinsia moja, mfano wake satanic church lilo kua lina ongozwa na Antony. Au kama utabahatika kasome satanic bible utaona yaliyomo mle, kwaiyo huwezi juu imanii ya mtu humu JF tupo wengi bwana
 
nimekuelewa mkuu
 
Hii mambo inaonekana kwa sasa ni ya kawaida katika ndoa nyingi haswa zile zinazoshindia kuangalia picha za porno. Nilianzisha mjadala nikiwa na mama mmoja wa kitanzania tena lecturer na mke wa mtu na mama mwingine nikawa napinga sana tigo ila wao wakanishangaa mimi wa wapi. Wakasema suala la tigo ndani ya ndoa ni makubaliano ya wanandoa na hilo halina shida kama wamekubaliana. NILIBAKI MDOMO WAZI NA USHAMBA WANGU ILA HADI NITAKAPOKUFA ILE NAITA NI USHENZI TU NA SITAKAA NILIAFIKI
 
Hivi mke wangu mwenyewe niliyemtolea mahali anizalie watoto anitishie upuuzi huo,si nafukuza siku hiyohiyo???mwanaume hayuko serious au ukute mke wake ndo bread earner,au mwanaume ni shoga flani halina hata sauti kwa mke wake.
 
amkatalie 2 na kama kushitaki na akashitaki eee inamaana huyo mwanaume naye hajashi2ka 2 kama hana mke hadi sasa
 
Mwambie jamaa yako akubali kushitakiwa. Hlf wakati wa kesi aombe waende hospital wakampime kwanaume kama keshawahi kukwangua 0714, maana majibu yataonesha nani kafanya nini?
Kama mume hajawahi kukwaluza Tigo basi mke ataumbuka sana.
 
Wana jf habari zenu hongereni kwa mwaka mpya 2013. Leo kuna kitu nataka mnisaidie ni hivi kuna rafiki yangu kaniambia eti mke wake anamlazimisha wafanye mapenzi kinyume na maumbile japo yeye mume hataki mke anaonyesha hasira na kumtishia kwamba atamshtaki kwa baba yake kuwa yeye ndio anamlazimisha afanye kinyume na maumbile.

Maana yake ili waachane sasa jamaa yuko njia panda hajui afanyeje kwani yeye ni mtu wa dini sana. Akisema amle TIGO ni dhambi akimwacha anashtakiwa kwa wakwe sasa hajui afanyeje yuk

Hili nalo ni la kuuliza mkuu?so childish kwa kweli...,guts za kuanza kulazimisha kazitoa wapi?aaah i dont understand kwa kweli.Sorry!!!
 
Mwambie aniazime mimi kwa miezi mitatu tu :becky:
 
Nakuunga mkono bro...Sijui labda mie ndo nimezeeka au...sioni hoja hapa!
Yaani mkeo kutaka kuliwa tigo umeona ni mjadala kabisa na unauleta humu??
Tujaribu kukeep nidhamu ya jamvi wakuu..yako mambo hata akili ya kawaida inaamua tu, sio lazima kila kitu ushauriwe!!

Hili nalo ni la kuuliza mkuu?so childish kwa kweli...,guts za kuanza kulazimisha kazitoa wapi?aaah i dont understand kwa kweli.Sorry!!!
 
Wana jf habari zenu hongereni kwa mwaka mpya 2013. Leo kuna kitu nataka mnisaidie ni hivi kuna rafiki yangu kaniambia eti mke wake anamlazimisha wafanye mapenzi kinyume na maumbile japo yeye mume hataki mke anaonyesha hasira na kumtishia kwamba atamshtaki kwa baba yake kuwa yeye ndio anamlazimisha afanye kinyume na maumbile.

Maana yake ili waachane sasa jamaa yuko njia panda hajui afanyeje kwani yeye ni mtu wa dini sana. Akisema amle TIGO ni dhambi akimwacha anashtakiwa kwa wakwe sasa hajui afanyeje yuk

Anzisheni mada zenye mantiki.
 
Yaani habari hizi sizipendi kweli kwa nini uingie woga mwanaume mzima hata vitabu vya dini vinakataza yaani huyo best yako anaogopa ukweni kuliko kumuogopa Mungu? always uongo hujitenga palipo bna ukweli jamani tuweni jasiri ifikapo suala la kumuudhi Mungu tuwe mstari wa mbele kulipinga dini zote haziruhusu uchafu huo. Aende akaseme halafu kama huyo rafiki yako ni mtu wa dini kama ni muislamu wakati wa hicho kikao wawepo masheikh na kama mkristo wawepo padre, askofu halafu huyo mwanamke ashtaki kwa baba yake aone jinsi Mungu alivyo na nguvu aape mbele ya hao viongozi wa dini nakuapia huyo mwanamke atakuja kuumbuka tu watu tuna dini ila hatuna mapenzi na Mola wetu tunakubali ujinga kwa ajili ya dunia eti baba mkwe , nini baba mkwe hata aende kwa babu mkwe we komaa tu kesho kwa Mungu utajiteteaje? Mwnaume inabidi uwe strong, nampenda sana Mume wangu yuko muwazi na jambo linalomuhusu kumuasi Mungu atalipinga kwa nguvu zote
 
Back
Top Bottom