kjembe
Member
- Jan 9, 2015
- 45
- 29
#INASIKITISHA_NA_KUVUNJA_MOYO_KWA_WASOMI.
Uamuzi wa kuajiri wahitimu 36 kati ya 146 waliohitimu kutoka katika Chuo cha Usimamizi wa kodi (ITA).
Tar 29/12/2015 Gazeti la Mwananchi liliandika kupitia Facebook kuwa Mkurugenzi wa idara ya Elimu kwa mlipa kodi Bwana Richard Kayombo alisema TRA itaziba pengo la watumishi 36 kwa kuajiri wanafunzi waliohitimu kutoka chuo cha ITA.
#MyTake: mimi nadhani wapo vijana wenye taaluma ya kodi na uhasibu yaani Taxation and Accounts kutoka vyuo mbalimbali kama IFM N.k, Je kwa nini Wasishindanishwe?