hahaha labda budget haisomi au wanaogopa kuomba.Au wanafanya mchakato na upembuzi yakinifu?!!
utalii wa ndani . ??/hakuna box la maoni hapo mkuu?
Kama kawaida, wanajua ila wanasubiri mpaka mkuu apite aseme amegundua uzembe hapo.Wahusika wapo bize kukusanya mapato kule getini
Utumbuziwakishtukizwa hapo wakala utumbuzi... utasikia tumenyanyaswa.
Gari ndogo isingeweza kukimbia. Maanake imegonga nguzo ya taa kwanza ikalazwa chini ndio akapiga na hio kingo, gari ndogo kung'oa hio kingo hawezi kukimbia.Huyo Jamaa aliyegonga hapo inaonekana alikimbia, sasa kuanza mchakato wa kujenga bila kunyoosha maelezo ya traffic inakuwa ngumu. Ndo maana unaona hawa Jamaa wamenyuti.
Inavyoonekana ni gari ndogo na ni nyeusi... Tafadhali wenye gereji toeni ushirikiano.
Wengi wa madereva watanzania ni sawa na mabodaboda akili zao zimeingiliwa na VirusKWELI MADEREVA TZ WASHAMBA TAYARI MMESHAGONGA NGUZO ZA DARAJA, IPO SIKU DEREVA ATATUMBUKIA BAHARINI, NA FLYOVER ITAKUWAJE ?