dawa yenu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 2,829
- 3,733
- Thread starter
- #61
Hahahahaha sio shule ya kata ila ni moja katiya shule za hovyo nilizowahi kusoma, hovyo Sana! Kuna siku nilikutana na mzazi anamleta mwanae kujiunga na form one aliponiona na uniform zangu akaniuliza kuhusu shule nikamwambia mama Kama unataka mwanao apotee Basi mlete ajiunge na shule yetu!Hii piga ua ilikuwa shule ya kata. Yaani mnaamua tu muondoke shuleni mpite mtaa wa kwanza wa pili fresh tu!!! Ila story poa Sanaa, Mambo kama hya yalikuwa Shule moja huko Mwanza. Jamaa walikuw wanaitwa Bush runers