Wahuni ambao Hayati Magufuli hakuwamaliza kama anavyosema Humphrey Polepole ni akina nani?

Humphrey Polepole akizungumza na vyombo vya habari amesema Magufuli HAKUWAMALIZA WAHUNI WOTE , kwamba kumbe kulikuwa na mkakati maalum wa kuwamaliza Wahuni , sasa huyu anayetamka haya alikuwa katibu mwenezi wa ccm , huyu ni miongoni mwa wasaidizi wa karibu kabisa wa Magufuli ambaye alikuwa Mwenyekiti wa ccm na Rais wa Tanzania .

Maswali yangu ni machache tu , hivi hawa wanaoitwa wahuni ni akina nani ? ni nani alithibitisha uhuni wao na kwa kutumia vigezo gani , Wangapi walimalizwa , na walimalizwaje , mabaki yao yamehifadhiwa wapi na ni akina nani , na wangapi wamebaki na ni akina nani waliponaponaje ?

Leo nimegundua Polepole ni mtu muhimu sana kwa ushahidi huko tuendako .
Nchi ya kulea watu wasiojulikana na kumaliza wahuni
 
Mmoja wa wahuni ni huyu aliyetuambia baada ya siku mbili atatoa suluhisho la kudumu kukatika kwa umeme,mpaka Sasa hajaonekana.
 
Chakubanga anatapatapa tu
Humphrey Polepole akizungumza na vyombo vya habari amesema Magufuli HAKUWAMALIZA WAHUNI WOTE , kwamba kumbe kulikuwa na mkakati maalum wa kuwamaliza Wahuni , sasa huyu anayetamka haya alikuwa katibu mwenezi wa ccm , huyu ni miongoni mwa wasaidizi wa karibu kabisa wa Magufuli ambaye alikuwa Mwenyekiti wa ccm na Rais wa Tanzania .

Maswali yangu ni machache tu , hivi hawa wanaoitwa wahuni ni akina nani ? ni nani alithibitisha uhuni wao na kwa kutumia vigezo gani , Wangapi walimalizwa , na walimalizwaje , mabaki yao yamehifadhiwa wapi na ni akina nani , na wangapi wamebaki na ni akina nani waliponaponaje ?

Leo nimegundua Polepole ni mtu muhimu sana kwa ushahidi huko tuendako .
 
Polepole njaa hadi kwenye ubongo anahistoria gani?
Fuatilia nyadhifa zake tangu akiwa 30 years old,na ujaribu tathmini malipo na posho zake mpaka sasa na bado ni Mbunge.

Wewe ndie mwenye njaa, kaa kimya.
 
Codes za kisiasa
 
Naam

Naam, pengine ndiye alikuwa anaratibu nani auwawe, lini,

Sijui kama Lissu aliwekwa kwenye listi ya "wahuni"
 
Fuatilia nyadhifa zake tangu akiwa 30 years old,na ujaribu tathmini malipo na posho zake mpaka sasa na bado ni Mbunge.

Wewe ndie mwenye njaa, kaa kimya.
Capten John Komba ameishi ccm maisha yake yote na alifirisika akiwa mbunge, ndio sembuse hii takataka yako unayoitetea hapa?

Subirini, ni zamu yenu wahuni halisi na orodha yenu ipo lazima muwe eliminated.
 
Wahuni ni wengi na muda ni mchache!Treni iko wapi sasa?😁😁😁
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kama HPP anacho ongea ni uongo basi tuna wajibu wa kufuatiwalia uongo huo kama ni uongo kweli,na kama anacho ongea ni kweli pia tuna wajibu wa kujua ukweli huo na si kukaa hapa kuandika upuuzi puuzi usiofaa wakati hata kwa mazingira tu yasiyo hitaji akili nyingi sana vitu vinaonekana,hatuwezi kuwa na mgao wa umeme wa ghafla kiasi hiki halafu ww mwenzangu ukaona eti ni jambo la kawaida,bidhaa zipande bei kwa kiwango hiki alafu mwenzangu uendelee kuona eti hili ni jambo la kawaida kabisa lazima kutakuwa na kasoro kwenye akili zetu,tuongee na kutetea maslahi mapana yanayogusa asilimia 90% ya watanzania hapo tutaonekana tulienda shule tukasoma na tukaelewa au hapo tutaonekana tuna AKILI TIMAMU,na kama post zetu ni daima zinaonekana zimejaa upofu hasa ya juu ya mambo ya msingi yanayoendelea ndani ya TAIFA letu basi ingekuwa ni heri tuache kuchangia na kutoa maoni juu ya vitu tisivyovijua ambavyo na vingine kwa bahati mbaya vinaonekana waziwazi na kama hatuwezi kuving'amua basi tatizo kubwa kinabaki kwenye akili zetu.
 
Tusimuangalie HPP usoni,tujikite kuangalia hali ilivyo kwa sasa katika taifa letu ili ww na mm tukiwa na akili timamu pasipo kushawishiwa na mtu tuwe na uwezo wa kuona,kujua ,kutafakari na kung'amua hali hii tuliyonayo,maana kazi ya uongozi si kufanya maisha ya watu kuwa magumu na hasa watu walio huru ndani ya TAIFA lao bali ni kujitahidi kila siku kurahisisha maisha ya watu,nje ya hapo tunaweza kusema pasipo shaka kuwa Raisi aliyepo na serikali yake wameshinda kuongoza Taifa au taifa limepokwa uwezo wake kama Taifa.
 
Back
Top Bottom