Wahuni ambao Hayati Magufuli hakuwamaliza kama anavyosema Humphrey Polepole ni akina nani?

Humphrey Polepole akizungumza na vyombo vya habari amesema Magufuli HAKUWAMALIZA WAHUNI WOTE , kwamba kumbe kulikuwa na mkakati maalum wa kuwamaliza Wahuni , sasa huyu anayetamka haya alikuwa katibu mwenezi wa ccm , huyu ni miongoni mwa wasaidizi wa karibu kabisa wa Magufuli ambaye alikuwa Mwenyekiti wa ccm na Rais wa Tanzania .

Maswali yangu ni machache tu , hivi hawa wanaoitwa wahuni ni akina nani ? ni nani alithibitisha uhuni wao na kwa kutumia vigezo gani , Wangapi walimalizwa , na walimalizwaje , mabaki yao yamehifadhiwa wapi na ni akina nani , na wangapi wamebaki na ni akina nani waliponaponaje ?

Leo nimegundua Polepole ni mtu muhimu sana kwa ushahidi huko tuendako .
Huyu pia ana kesi ya kujibu.shahidi#01
 
Bahati nzuri Mungu wetu kaamua kuwamaliza wamalizaji wa wahuni kabla ya kuwagusa wahuni
 
Back
Top Bottom