Wahudumu wa bar wanahitajika Kilimanjaro

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
72,101
Reaction score
190,491
Wakuu kwema,

Jamani katika harakati za kulainisha vyuma nimefanikiwa kufungua baa ambayo ina jiko kwa ajili ya mdudu spesho.

Katika uendeshaji wa Baa hii changamoto kuu niipatayo ni wafanyakazi. Nakosa wafanyakazi serious ambao wana moyo wa kazi maana niliokuwa nao wengi ni wasumbufu na hawatulii kazini..Wanakaa kwa muda kidogo kisha wanaanza pozi. Option inakuwa kukomaa nao maana ukiwatimua fasta kupata wengine ni ishu.

NB: Kama kuna recruitment agency ya ma bar maids naomba nipatiwe mawasiliano yao tafadhali. Niko Mkoa wa Kilimanjaro
 
Hongera sana mkuu!

Nina uhakika utapata maana watu njaa kali. Vipi mimi naruhusiwa kuomba??
 
Hujatupa location mkuu...maana si wengine mdudu na bia ni kama bibi harusi na bwana harusi
 
Lipa vizuri watatulia mkuu bila kusahau "marupurupu" kama lunch kwa maana ofisi inunue vyakula wajipikie. Pili, hawa watu ukifanikiwa kukaa nao angalau miezi 6 wamedumu sana so huhitaji kulaumu ukimpata uliyekaa naye muda huo; usishangae mwingine anaingia leo kesho kaondoka ni kawaida sana hao viumbe. Kama kuna sector ambayo HR ni very dynamic basi ni sekta ya bar na house maids.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Marupurupu kivipi sasa?
 
Wakuu kwema,

Jamani katika harakati za kulainisha vyuma nimefanikiwa kufungua baa ambayo ina jiko kwa ajili ya mdudu spesho.

Katika uendeshaji wa Baa hii changamoto kuu niipatayo ni wafanyakazi. Nakosa wafanyakazi serious ambao wana moyo wa kazi maana niliokuwa nao wengi ni wasumbufu na hawatulii kazini..Wanakaa kwa muda kidogo kisha wanaanza pozi. Option inakuwa kukomaa nao maana ukiwatimua fasta kupata wengine ni ishu.

NB: Kama kuna recruitment agency ya ma bar maids naomba nipatiwe mawasiliano yao tafadhali. Niko Mkoa wa Kilimanjaro
Hakuna watu wasumbufu kama hawa viumbe!! Wao hawaangalii unachowalipa hata mlipe laki mbili, utasikia ameacha kazi amekwenda sehemu ambako halipwi hata senti!! Na akiambiwa kazi basi atalia kweli!!wao wana angalia mapato ya pembeni hasa wale wazuri wazuri ni ngumu sana kukaa nayee muda mrefu!! Inatakiwa utafute wale ambao ndio kwanza wanaanza hiyo kazi hadi wawe MA KONKI, umeshawatumia sana!! Lakini hiyo MI KURUMBEMBE, kazi sana!! Hata mimi kuna kipindi walinisumbua sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom