Kama kigezo kilikuwa ni uadilifu kama mtendaji (kama inavyodaiwa) basi Mkapa asingestahili kupata maana katika miaka 10 yote aliyokuwa madarakani hakuwa na uadilifu hata chembe.
Mkuu kigezo muhimu kilikuwa ni kuwa kada wa TANU/CCM hiyo ya uadilifu,uchapa kazi na uzalendo havikuwa vigezo muhimu!