jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 19,092
- 35,889
Moja kwa moja kwenye mada husika.
Kutokana na ongezeko kubwa la walimu waliohitimu masomo yao kuwa kubwa mtaani Ikiwa wengi wao hawana ajira na kuendelea kuhangaika mtaani ambapo mwajiri mkuu serikali ya awamu ya tano kusitisha ajira zao hasa walimu wa masomo ya sanaa, ambao ni wengi sana hadi kufikia wengine kuhamishwa kutoka sekondari kwenda primary.
Nashauri Serikali kupitia Wizara ya Elimu isitishe udahiri wa walimu wa masomo ya sanaa katika vyuo mbalimbali nchini ili kupunguza ongezeko kubwa la walimu wanaoingia mitaani ambao wengi wao wakiingia mtaani huanza kuilaumu serikali kwa kusitisha ajira za ualimu.
Pia wizara iangalie kada zingine zenye wingi wa wahitimu nazo zipunguziwe udahili kama Sociology na zingine nyingi.
Pia wizara ianze kuzalisha wataalamu kulingana na uhitaji wa wakati husika.
Sent using Jamii Forums mobile app