Wahitimu shule za Feza washerekea Eid na watoto yatima

Wahitimu shule za Feza washerekea Eid na watoto yatima

ashrack

Member
Joined
Jun 23, 2017
Posts
8
Reaction score
8
Wahitimu wa Shule Feza (Feza Alumni) wakijumuika katika Chakula na Michezo Mbalimbali kweny sikukuu ya Eid jana wakati walipowatembelea Watoto hao kituo cha Chakuwama hili kuwafariji Watoto. pia wahitimu hao walipata Fedha hizo kwa kuwapaka Hinna watu na kuhuza Ubuyu sehem mbalimbli hapa Nchin
FB_IMG_1498637465233.jpg
FB_IMG_1498637113613.jpg
IMG-20170628-WA0009.jpg
FB_IMG_1498637465233.jpg
 
Butogwa shija alikuwepo kama hakuwepo dear wangu butogwa bas mimi sitak kusikia hiz habal
 
Mbona ni wawili tu,
Mkuu juzi nimepita maeneo ya kawe aisee nilishangaa sana FEZA ya watoto inamajengo makali balaa zaidi ya UDSM,
Mkuu ni PM namba za mdada mmoja mimi nataka urafiki tu.
 
Back
Top Bottom