Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
“SIJAWAHI kuvuna uyoga katika maisha yangu, achilia mbali kushuhudia namna unavyolimwa,” anasema Anna Salado, Mkurugenzi wa taasisi ya Mfuko wa Wanawake wa Afrika (WAF) kutoka Hispania, wakati akikwanyua kikonyo cha uyoga katika shamba la akinamama wa kikundi cha Tunza Women Group, Bunju jijini Dar es Salaam.
Soma zaidi hapa=> Wahispania wavutiwa na Kilimo cha Uyoga Dar | Fikra Pevu