wahindu na siku ya katiba Tanzania

wahindu na siku ya katiba Tanzania

Zamaulid

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,339
Reaction score
16,798
wahindu wakielekea kwenye kipaza sauti ili kuombea siku ya katiba Tanzania!!!hivi nyie watanzania huko ughaibuni na nyie huwa mnatambika kwenye sherehe za huko???


s3.jpg
 
hawa si ni sawa na kufanya tambiko la kisukuma tu hawa!!!!
 
Sio huko ughaibuni........sema huko India.....huwa tunatambuliwa.........?
 
Nchini mwao mnaonekana taka taka lakini nyie mnawatukuza na kuwaenzi.
Sisi ni wakarimu saanaa.
 
na hiyo dua ilikuwa inaombwa kwa lugha gani,kihindi?
 
wahindu wakielekea kwenye kipaza sauti ili kuombea siku ya katiba Tanzania!!!hivi nyie watanzania huko ughaibuni na nyie huwa mnatambika kwenye sherehe za huko???


s3.jpg
Hakuna shaka kwa wao kuhusishwa ama kushirika katika mkusanyiko tajwa hapo juu kwani si watanzania?Hindu ni dini kama zilivyo dini nyingine nchini mwetu hivyo kuwepo hapo hakuna shaka kwa kuwa ni watanzania.Ila mara nyingine hata sie hualika makundi mbalimbali ya burudani katika dhifa za kitaifa kama mwaka jana tulialika kundi la ngoma toka Rwanda kutumbuiza sherehe za uhuru wa Tanganyika!Mwalimu alisema "hatukumpinga kaburu kutokana na rangi yake bali kutokana na ubaguzi wa rangi kwa watu weusi na makaburu katika zama zetu hapa nchini mwetu ni wale wanaojiita WAZAWA!
 
Back
Top Bottom