Wahindi wanasoma na kuiba nyota ya watu

Hata hayo mambo ya sayansi huenda yana ushetani ndani. Hivi umeme positive and negative charges, vinasafiri kwenye nyaya na ni hatari kama ukikosea. Sawa ni sayansi iliyofanyiwa utafiti wa kina, mbona kuna mabingwa wanaologa umeme?
 
Haya mambo ni ya kweli.
Mimi mwanzoni mwa mwaka huu kuha jirani yangu alitaka nikachome miiba fensi ndani ya uwanja wake nikagoma. Nilishtuka kwa sababu nilimuambia mfanyakazi akusanye hiyo miiba kwenye shamba letu kisha niichome ila hakufanya akaniambia huyo jirani kaniambia nikachomee kwenye uwanja wake.

Weee kumbe sio mtu mzuri nadhani alitaka achukue alama za nyayo akafanye ushirikina wake.
SIkwenda na miiba aliichoma mwenyewe.
Shukrani sana mkuu nimekumbuka hili tukio na natumai itakua funzo kwa wengine.
Nawashauri sana watu wamtafute YESU kwanza ili wajijenge na kujiimarisha kiroho na kiimani kwani watu ambao hawana Imani imara ndio nyota zao huchukuliwa na wanga/wachawi.
Yesu Yesu Yesu Yesu ndi kiboko yao.
 
Pongezi sana mkuu kwa kutufungua macho na ufahamu Zaidi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…