Washenzi sana hata last week airport dar kwenye vile viti vya boarding gate alikua muhindii kakaa,basi alipokuja mbongo
anataka kukaa anamwambia anakuja mwanangu kuka jamaa kasubiri zaidi ya dadkika 10 akaenda tena muhindi wachaa
aanze kumkaripia mbongo, ah alinifurahisha mbogo wacha ampake muhindi nenda bwana wewe hapa mimi niko kwetu
tena nakaa kama unaona vp unaweza jikata kwanza mimi nna mfanya kazi kama huyo mke wako kwangu usinitishe,jamani tulicheka yule muhindi hakuongea tena alihama pale alipokaa.