Wahindi na Waarabu wanawachukia Wachagga sana, kwa nini?

Status
Not open for further replies.
people izi idea za kuongea mambo kwa kubaguana kwa kuanzia na misingi ya udini, ukabila, race na itikadi kutaipeleka pabaya taifa hili. kwanini wa2 wasiishi kma nyerere alivyopenda just peace an harmony. politics sio lazima kuchafuana na kuchokoana au gutt politics siasa ikitumiwa vizuri ni chanzo cha maendeleo ki2 ambacho hakipo Tanzania.
 
wengi ni waislam so lazima wawe kwenye chama cha kiislam ccm
Non sense. Nimeamini kauli ya Zitto kwa sentence yako km hii. Kwahiyo CDM chama cha kikristo? Bora umeweka wazi leo. Chunga kauli zako km vp uwe unakaa kimya unajidhalilisha sana.
 
Non sense. Nimeamini kauli ya Zitto kwa sentence yako km hii. Kwahiyo CDM chama cha kikristo? Bora umeweka wazi leo. Chunga kauli zako km vp uwe unakaa kimya unajidhalilisha sana.
Mkuu, huyu ni pumba sana kwani ulikuwa hujui.
 
wengi ni waislam so lazima wawe kwenye chama cha kiislam ccm

hongera umeongeza idadi ya post hata kama ulichoandika ni upuuzi...a great stinker!!!! ppuuuu!!!

nashangaa hivi JF inaelekea wapi, awali lilikuwa ni jukwaa la kujifunzia ya maana lakini tangu pavamiwe na watu wapuuzi busara imekaa kando na upumbavu umetamalaki kila pahala....what a shame!!!!!
 
Unajua Wachagga wanajidanganya sana eti wamewakimbiza wahindi na waarabu! Wahindi na Waarabu wamekusanya pesa siku nyingi saizi wame Fetch kwenye Industrial and International deal, hotel, Company, endeleeni kujidanganya

Hapo kwenye red unamaanisha international bussiness? au deal kama EPA, Dowans, Richmond, Radar, IPTL, Loliondo nk?
 
Kule Moshi wahindi na waarabu kama akina Panjuani waliokuwa wakitamba kwa maduka makubwa ya electric appliances sasa utawaonea huruma! Wamesimama ndani ya maduka yao wakitazamana wao kwa wao, hawana ujanja hakuna mtu ananunua kwao.

Ukienda Arusha mambo yanakuwa hivyo hivyo, utasikia wakisema "biashara hapana mzuri hapa hii Chagga nahararibu bishara hapa". Angalia akina Manji walivyogombana na Mengi, hawataki kumwona mtanzania akifanya biashara kubwa na watu wa aina hii ni tishio kwao.

Na hili wameliingiza kwenye siasa kwa kuwachochea watu wafikiri CDM ni ya wachagga na wangependa kama nchii wachagga wanafutika wote ili waweze kunyonga vizuri zaidi.

Tuwe macho na hawa wanyonyaji na tuache kuwashabikia kipumbavu!

Wenyewe wanasema "janja piga goma jinga cheja"
 
Ndiyo maana mpaka leo mimi namkubali Idd Amin, aliwaweka hawa wabaguzi wakubwa wa rangi kwenye sehemu yao.
 
Unajua Wachagga wanajidanganya sana eti wamewakimbiza wahindi na waarabu! Wahindi na Waarabu wamekusanya pesa siku nyingi saizi wame Fetch kwenye Industrial and International deal, hotel, Company, endeleeni kujidanganya

Naomba nigune kwa hili wana JF
 
hongera umeongeza idadi ya post hata kama ulichoandika ni upuuzi...a great stinker!!!! ppuuuu!!!

nashangaa hivi JF inaelekea wapi, awali lilikuwa ni jukwaa la kujifunzia ya maana lakini tangu pavamiwe na watu wapuuzi busara imekaa kando na upumbavu umetamalaki kila pahala....what a shame!!!!!

Mbunge wa viti maalum wa CDM huyo, ana busara sana huyu ni mfano wa watu makini ndani CDM
 
Unajua Wachagga wanajidanganya sana eti wamewakimbiza wahindi na waarabu! Wahindi na Waarabu wamekusanya pesa siku nyingi saizi wame Fetch kwenye Industrial and International deal, hotel, Company, endeleeni kujidanganya[/QUOTE
ACHA KUANDIKA BLA BLA WEWE HEBU NITAJIE MHINDI AU MWARABU HATA MMOJA KUTOKA MOSHI AMBAYE AMETOKA MOSHI KWAAJILI YA
KU UPGREAD BIASHARA ZAKE.

Si utani kuna mikoa wahindi na waarabu wameione sana,lakini kwa mkoa wa Kilimanjaro na Arusha kidogo huko hawakupata nafasi yoyote katika kuexploit,kwanza ni tabia ya kabila husika katika kujithamini na kuweka nafasi kuwa wanaweza.Mikoa mingine yenye jeuri ya kichaga ni Mara na Ruvuma.Nenda Tarime, Mugumu na Musoma, au Songea mjini wahindi huko wapo lakni choka mbaya,kutokana na wenyeji kujituma na kuwa na haiba ya kijadi ya kuthubutu. Wachaga na Wakuryana Wangoni wanahaiba ya uthubutu.

Mikoa iliyoonewa sana na jamaa hawa Wahindi na Waarabu ni Mwanza,Shinyanga,Tabora,Rukwa, Morogoro,Singida,Lindi,Mtwara,Mbeya,Pwani, Tanga,Dar es Salaam na kidogo Dodoma,ukweli huko ndiko matajiri wote wa Kihindi na Kiarabu wanatokea,Wamewasurubu sana wananchi wa huko,wakinunua mazao na kufanya biashara na wenyeji,kwa kuwadanganya wengine kwa kuoa watoto wao na kuzaa nao.

Mikoa iliyoathirika sana na watu hawa ni Shinyanga,Tabora,Lindi,Tanga,Pwani, Dar es salaam na Morogoro uko ukitizama hata maendeleo ya wenyeji mikoa hiyo yenyewe ni hafifu na maskini wa kutupa kimaendeleo na kielimu.Na hata kiustawi mikoa hiyo ndio yenye umaskini na kiwango cha mwisho cha ustawi wa watu wake kimaendeleo na ufahamu wa kujitambua kuwa wanastahiki maisha bora.Picha hallisi unaweza kuona elimu ilivyo duni huko tizama na tathmini,waliozimia na kulia wakati Rostam Aziz anatangaza kujiudhuru.Hayo ndio madhara yaliyozagaa kwenye mikoa tajwa hapo juu,jamii imepumbazwa na watu hao kwa kiwango kikubwa toka enzi hizo babu zao walipoingia vijijini huko miaka ya 1950,1960,1970 na toka hapo hawaingii tena huko kwa kuwa walishachuma wakatosheka sasa walishaondoka ila wakiludi wanaludi watoto wao na wajukuu wao kwenye vijiji,vilivyokaliwa na mababu,kuwadanganya kwa jina la babu yao kuwa wako pamoja wanataka kuwasaidia kisiasa hivyo wawachague kupitia chama tawala.Kama Rostam alivyotumia turufu ya Mjomba wake IGUNGA TABORA.

Na kwa haiba ya makabila hayo ya mikoa iliyoonewa na watu hawa ni WATU WA AINA YA NDIO ,ambayo ni nzuri lakini imewagharimu sana kwenye maisha yao, pasipokujua kuwa UPOLE WAO imekua hasara kwao,na hatimae familia nyingi zimepitia dhuruma kwa kufikia hatua kuwa wanahifadhi pesa zao kwenye familia za waasia hao huko vijijini walikokuwa wamejikarisha na wananchi, wakichuma kwa kununua Mazao,Ngozi,Nyara za Serikali,Madini kupitia wananchi hao waliowadanganya na kujifanya ni sehemu yao.

Walipotajirika wakahama na kuamia makao makuu ya mikoa,kisha uko wakajiingiza kuwa karibu na viongozi wa Kiserikali na Chama kisha kuanza kupata tenda na utoaji wa huduma za shughuli za usafirishaji na biashara nyingine halali na haramu.Toka hapo wakahamia kwenye majiji,na kuamua kuenvest kwa kutumia akili za watoto wao waliowapeleka Ulaya na Canada kusoma miaka ya kuanzia miaka ya 1980 na kuendela mpaka sasa,uku wajukuu zao wakipata mimba hapa Nchini kujifungua ni Marekani,Canada au UK,ili wapate uraia wa USA au Canada,ambao leo wanauombea uraia wa nchi mbili ili wapate kuchuma zaidi kwa uhalali.

Tizameni Maendeleo ya mikoa hii Shinyanga, Tabora, Lindi, Tanga, Pwani, Dar es salaam na Morogoro haswa wenyeji wa mikoa hiyo ni SHIDA na ni tatizo kiasi kuwa SERIKALI INAWIA VIGUMU SANA KUWASAIDA.Tizameni Jamii ya WANAIGUNGA katika swala la Rostam utajua ni vipi,jamani watu hawa WALIVYOPUMBAZWA.Rostam wanaona ni tatizo la fitina la mkoa wao kumbe, Rostam ni tatizo la TAIFA KWA UJUMLA.
 
Hamna ukweli sana kwa hili, ila mimi naona biashara ya maduka imekua na ushindani mkubwa (China imerahisisha supply kwa wafanyabiashara waTZ wengi) hivyo wengi wa wahindi ama waarabu wamebadiri biashara: naona kuna wahindi wanamashamba ya miwa nk pia wengi wamehamia Canada nk. Kuna walio kwenye Real Estate Kariakoo nk. Sijaona duka la Mchagga pale Duty Free Airport bado.
 
Yele yale ...... Lisemwalo lipo na kama halipo laja.

Chadema wanajipambanua wenyewe mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeee.

Haya chama cha Ukabila na udini.
 
Yele yale ...... Lisemwalo lipo na kama halipo laja.

Chadema wanajipambanua wenyewe mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeee.

Haya chama cha Ukabila na udini.

Wale wale, we uko wapi?una mchango gani kwa Taifa lako mama?
 
ww kama kizazi chako mlishawahi kua watummwa kamwe utumwa hauishi ktk damu .kujiiondoa utumwani labda vizazi 10 .
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom