Wahi TRA Mapema

Wahi TRA Mapema

Ndugu Mjasiriamali,

Unapomaliza Kusajili Kampuni hakikisha unawahi sana kwenda TRA.

Unapochelewa TRA wanaanza kukuhesabia fines.

Lakini ukiwahi unaweza Anza ku file zero Taxes.
Umeleta mada ya muhimu sana ila umeiwasilisha vibaya sana mkuu binafsi nko hatua za mwisho kufungua kampuni details zako zingenisaidia sana au ndo tukufate DM na charges?
 
Ukisajili kampuni na ukapewa TIN certificate unatakiwa kufaili returns uwe umeanza biashara au bado.
Kwa kampuni unakuwa liable na kodi hizi:-
-Provisional Tax (Makadirio)
-SDL
-PAYE
-ROI (Return Of Income) na
-VAT kama uko registered.
Hamna cha zaidi mkuu.
 
Umenipa kitu cha ziada ubarikiwe
 
Ukisajili kampuni na ukapewa TIN certificate unatakiwa kufaili returns uwe umeanza biashara au bado.
Kwa kampuni unakuwa liable na kodi hizi:-
-Provisional Tax (Makadirio)
-SDL
-PAYE
-ROI (Return Of Income) na
-VAT kama uko registered.
Hamna cha zaidi mkuu.
Hivi ile withhold tax ni lazima ulipe ukishafungua kampuni wakati unafanya mchakato ww tin certificate au unaweza iacha ukaja fanya baadaye?
 
Ndiyo unalipa Withholding tax on rental contract kama eneo unalofanyia biashara umepanga, na stamp duty.
WHT-10% Of rental contract
STAMP DUTY-1% Of rental contract
 
Hii inalipwa chini ya tin no ya wewe mfanya biashara au chini ya tin no ya mmiliki?
 
Wewe mfanya biashara unai-hold 10% kwenye malipo ya rent unayolipa (hapa mwenye jengo ndiye anayelipa) in case hana TIN# wewe ndo unakuwa liable sababu Withholding tax na stamp duty lazima zilipwe.
 
Back
Top Bottom