Wahi desktop cpu 2.8 ghz 90000/=

Toa full specs zake tafadhali yan ram?hdd?n.k
processor 2.8 ghz.....ram 256mb.......hard disk 40gb.....unaweza kuongeza ram ukihitaji mwenyewe...aina ya dell gx 270 za kulala...zinapiga kazi hata kwenye umeme mdogo.....mpaka sasa zimebaki mbili tu.......vilevile nauza flat screen 18 inch nyeusi kwa 70000/= tu.
 
Back
Top Bottom