kwa hakika ni vyema waende jkt ...!
hivyo vitambi bora wapigishwe kwata la JKT vipungue kidogo
Hapo mwenyekitambi ni nani?
Mwangalie Mhe Mbilinyi na Mhe Kafulila na hata huyo mwenye draft sio mwili wa kijana huo unaonyesha kuridhika
mkuu mbilinyi mbona simuoni hapa!
I greet you Erickb52 in the name of LOVE.Dah wanaenjoy sana aisee
I greet you Erickb52 in the name of LOVE.
Mhhh????:eek2:
:eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2:
hivyo vitambi bora wapigishwe kwata la JKT vipungue kidogo
Kwani JKT inaanza lini rasmi?
KOKUTONA kwa Erickb52 akasirike kuambiwa anapendwaBasi alilalia ubavu mzuri akaamka na bahati hiyo.
But huwez jua Mr Rocky anaweza aka perceive tofauti akakasirika.
Erickb52 uko wapi?