KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
KOKUTONA i know that it is just a greeting to Mr Erickb52 and i accept thatNgoja tumsubiri. But i was just greeting him from my heart Mr Rocky.
Erickb52 i great you in the name of LOVE jamani.
KOKUTONA ndio ugonjwa wake yule jamaaKwani Erickb52 anapenda sana kupendwa ee?
Furaha yake ndo furaha yangu.
Mhhh!!!! Kweli?
Ila mimi sitaki kuhongwa jamani. Unajua vya kuhongwa vina tabu zake Mr Rocky.
Ila some time ni vizuri kama mhonjgaji anatoa kwa moyo wote bila kudai malipo
namjua Erickb52 sana yaani kwenye masuala hayaNgoja akija atasema kama kweli atahonga na kama kweli atahonga kwa moyo wake wote.
Mwangalie Mhe Kafulila na hata huyo mwenye draft sio mwili wa kijana huo unaonyesha kuridhika
Ndukidi hahahahah imebidi nichekeMzee kama hivyo ni vitambi basi Komba atakuwa na kitumbi!!!
Kwani na mimi ndo nitajiachia hivyo hadi matokeo ya mtoto, mmhhh.
Tukaanzishe yetu basi Mr Rocky au. Tusijerushiwa mabomu.
Kupendwa ee, waeza usijijue eti? Lakini hapana.
Hahahaaaaaa Mr Rocky una majungu dah
Mwangalie Mhe Kafulila na hata huyo mwenye draft sio mwili wa kijana huo unaonyesha kuridhika
hahahaha Mkuu Nasolwa umeona eeehhhWacha KAFULILA afurahie maisha maana sasa ana uhakika swala la yeye kufukuzwa NCCR-Mageuzi limekufa taratibu baada ya JK kumzawadia mwenyekiti Mbatia ubunge wa viti maalumu
Dah nipo kaka.....baada ya kuona majungu yamezidi nimeamua kuja
Halafu pia nataka kujua hali ya wajina kwa KOKUTONA
Hahahaaa Mr Rocky nilikuwa namtafuta Yummy anipepee akawa busy ndio kanambia ameshatoka job anaenda kwangu so usijali kwa hilo la kupepewa!yamekuwa hayo Erickb52
huwa nakutetea kwenye madhambo yako ila naona sasa umeamua kunisema kabisa
hakuna shida ngoja nikamwambie yule mama wa pale sokoni akuletee watoto wako ambao umeshindwa kuwalea
hahahaha Mkuu Nasolwa umeona eeehhh
Jamaa anakula shavu tuu aise
hana hata wasi wasi tena
Mkuu majungu wapi aise wakati tunasema ukweli wake
We erickn52 ni matatizo matupuu
Unatakiwa upepewe kabisa