Wahenga walikosea sanaa

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,826
Reaction score
3,098
MAkosa ya kiufund yapo kila mahal hapa wahenga walikosea sanaa

Pale wanaposema mwanamke mpumbavy hujenga ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe ni makosa kinachojenga ndoa ni mdomo sio mikono hata kubomoa ni mdomo kauli njema ni msing wa aman na furaha katika ndoa wanawake weng ni vibur jeur wajuaji
 
Wahenga hawaishi kwenye utashi wako...

Kama huwezi kuwaelewa wahenga, utaweza kumuelewa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…